Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
November 21, 2022Rais wa Kenya William Ruto yupo jijini kinshasa nchini DRC wakati huu wakitafta mwafaka wa amaniTunazungumzia ziara ya Rais wa Kenya William Ruto jijini kinshansa wakati huu rais wa Rwanda Paul Kagame na yule wa DRC wakitarajiwa pia kukutana jijini Angola .Kumbuka kuwa kunashuhudiwa makabiliano kati ya M23 na FRDC.Kutokana na hilo tumekuuliza iwapo Unadhani hatua hii ya Africa itasaidia katika upatikanaji wa suluhu? Na je viongozi wa Afrika mashariki wanauwezo wakurejehsa Amani DRC?...more11minPlay