Makala ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya
uapatikanaji katiba mpya nchini Tanzania. Hii ni kuwa wakati huu ndio
muda wa Bunge maalumu la Katiba kurejea Bungeni na kujadili kwa upya
rasmu ya pili ya katiba. Kundi la UKAWA wako nje ya Bunge na Kundi
lingine wako ndani ya Bunge. Je, ni nini Mtazamo wa walioko bungeni na
walioko nje ya Bunge? Kupata mengi ungana na Julian Rubavu.