Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki leo tunaangazia juu ya mjadala wakatiba mpya nchini Tanzania. Utawasikia viongozi wa vyama vya siasana serikali wakizungumzia juu ya mvutano unaoendelea nchini kuhusumuundo wa serikali ambapo chama tawala cha CCM kinataka serikali mbili, naupinzani unataka serikali tatu
Kwenye makala ya afrika ya mashariki leo tunaangazia juu ya changamotoza Utawala bora na haki za binadamu kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki. Bunge la Afrika Mashariki limedhamiria kuhakikisha raiawa jumuiya hiyo wanapata maendeleo endelevu kupitia utawala bora nahaki za binadamu.
Makala hii ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu yasekta ya habari nchini Tanzania. Ambapo sheria ya habari ya mwaka 1976 inadaiwa kuwa kandamizi kwa vyombo vya habari. Serikali inateteasheria hiyo. Na jamii inapinga.
Makala haya ya Afrika Mashariki inaangazia juu ya mswaada wa sheria za uchaguzi nchini Burundi mwaka ujao wa 2015. Bunge la Burundi limeondoa pendekezo laserikali iliyotaka kila mgombea kuwa na shahada ya chuo kikuu.
10 min
About Afrika Ya Mashariki
From the publisher's feed
Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki unahabarika na kuelimika juu ya changamoto za maisha ya wananchi wa Afrika Mashariki na eneo zima la maziwa makuu. Usipitwe na Makala ya Afrika ya Mashariki kwani…
unapata nafasi ya kutoa mawazo yako na kusikiliza wataalamu mbalimbali watakaokuwezesha kubadili fikra na kufikia maendeleo endelevu.