Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo.Maudhui ya Podcast hii:Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani,Mt... more
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.
February 13, 2022Asili ya KiunguWewe sio wa kawaida, umezaliwa kwa mbegu ya Mungu, wewe ni zaidi ya mwanadamu wa kawaida. Unao uzima wa aina ya Mungu....more3minPlay
February 12, 2022Maisha ya UtukufuSafari ya Mtu mwenye haki ni kama siku ipambazukayo.... iking'aa na kung'aa mpaka mchana mkamilifu.#mchana #kung'aa #safari #haki...more3minPlay
February 12, 2022KutokuzeekaWewe umezaliwa na Neno la Mungu linalodumu na kuishi hata milele. Kataa afya yako isizeeke, kudhoofu au kuathiriwa na Magonjwa. #kutokuzeeka #umri #uzee #neno...more3minPlay
January 30, 2022Nastawi DaimaMimi ni kama mti uliopandwa kando kando ya vijito vya maji. Nazalisha matunda mwaka nzima. Maambukizi, viwavi na chochote kinachoharibu hakina nafasi ndani yangu. Maisha yangu ni kusonga mbele na kupanda juu tuu. Hallelujah....more3minPlay
January 30, 2022Maisha ya UtukufuTunaishi ndani yake, uzima wake ni uzima wetu! Tumeketishwa pamoja nae katika eneo la mamlaka na ukuu mbali sana na maradhi, magonjwa na mauti. Hallelujah!...more3minPlay
January 27, 2022Ninaishi kwa ImaniKwa maana pasipo imani huwezi kumpendeza Mungu.....Wenye haki wa Mungu wataishi kwa imani na sio kwa kuona, au kuhisi kwa milango ya fahamu ya mwili. ...more3minPlay
January 27, 2022Imani yangu ndio Ushindi1Jn 5:4 Kwa maana kila kitu kilichozaliwa na Mungu huushinda ulimwengu; na huku ndiko kushinda kuushindako ulimwengu, hiyo imani yetu. ...more3minPlay
January 26, 2022Unabii wa Rhapsodi ya Uhakika mwaka 2022Haya ni maneno ya unabii kwa ajili ya usambazaji wa Rhapsodi ya Uhakika (ya Mungu) Tanzania nzima. Bwana ametoa neno lake na jina la Bwana libarikiwe....more41minPlay
January 23, 2022Naleta MabadilikoMimi sio mhanga wa maisha wala wa dunia. Mwili wangu ni Hekalu la Roho Mtakatifu. Ninaishi kwenye afya njema siku zote. Ninatawala na kumiliki katika maisha haya....more3minPlay
January 23, 2022Asili yangu ya KiunguMimi ni wa juu na sio chini! Mimi ni raia wa Sayuni - mji Mtakatifu! Safari ya maisha ni kutoka utukufu hata utukufu....more3minPlay
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.