Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo.Maudhui ya Podcast hii:Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani,Mt... more
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.
January 09, 2024Endelea Kuwaka, Endelea Kung'aa - TeeVoFanya yote yanayowezekana kwa ajili ya Bwana. Kama Kijana (teenager) ishi kwa ajili ya ushuhuda wa Bwana Yesu. Maisha yako yaakisi utukufu, hekima na heshima yake. Jifunze zaidi kupitia TeeVo hii ya leo. Waambie wengine pia, wahamasishe wengine kung'aa na kuwaka kwa ajili ya Kristo Yesu....more12minPlay
January 08, 2024Maisha ya Imani ya MkristoPasipo Imani haiwezakani kumpendeza Mungu. Imani ni mtindo wa makusudi au kudhamiria wa Mkristo. Jifunze zaidi kupitia TeeVo hii ya leo na washirikishe vijana (Teenagers) wengine kila Mahali ndani ya Tanzania. Kitabu hiki kinatoka kila mwezi na kina neno la Kila siku....more12minPlay
January 08, 2024Kuangaza Kupitia Roho MtakatifuWewe ni nuru ya Ulimwengu, acha nuru yako iangaze na kung'aa sana. Tumia fursa ambazo Mungu amekupa kupeleka neno lake kila mahali. Usionee haya injili, ungana nasi kusambaza nakala hizi kila mahali mkoa ndani ya Tanzania. Changia leo uchapishaji na usambazaji wa rhapsodi kupitia lipa namba hii ya vodacom: 8177098....more10minPlay
January 06, 2024Kataa Vurugu na Hasira - Rhapsodi TeeVoUsiruhuru Harisa wala Vurugu zikutawale. Wewe ni mwenye haki wa Mungu ndani ya Kristo Yesu.... hii ndio asili yako. Sikiliza kweli hii kutoka katika Rhapsodi ya Uhakika Teevo, kitabu mahususi kwa ajili ya Teenegers, kinachoandikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome. Wasiliana nasi kwa namba hizi kupata nakala yako: 0736000999. Changia uchapishaji na Usambazaji wa TeeVo mashuleni kupitia lipa namba hii ya Vodacom: 8177098....more14minPlay
January 06, 2024Tumeitwa KutumikaSisi ni watenda kazi pamoja na Mungu. Tumeitwa kwenye kazi ya Uimesheni, tupeleke habari njema za ufalme kila mahali. Jifunze zaidi na uhamasike kupitia Rhapsodi hii ya Januari 6, 2024. Unaweza kudhamini uchapishaji na usambazaji wa nakala hizi kupitia lipa namba hii: 817709....more11minPlay
January 04, 2024UFUFUO NDIO UFUNGUOUzima wa milele, uzima wa aina ya Mungu ni matokeo ya kufufuka kwa Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Jifunze zaidi kuhusu umuhimu wa ufufuo na matokeo yake katika maisha yetu. Hii rhapsodi ya Januari 4, 2024. Imeandikwa na Mchungaji Chris Oyakhilome na imesomwa na Amedeus Raphael....more12minPlay
January 03, 2024Maisha yako ya ustawi ndani ya KristoHaujaumbiwa shida, mateso, umaskini wala uhaba. Ulimwengu wote ni wako, wewe ni mrithi wa pamoja na Kristo. Sikiliza Kweli hii kutoka kwenye rhapsodi ya Uhakika, toleo la Januari 3, 2024. Hakika huu ni mwaka wako wa Ukombozi. Endelea kusikiliza podcast hii inayoitwa Amedeus Live kila siku ili uishi maisha ya ubora na ukuu ulioitwa kuyaishi....more11minPlay
December 30, 2023Maombi Maalumu Kwa Ajili YakoSikiliza Maombi haya Maalumu kwa Ajili Yako na fanya ukiri huu pamoja na mtumishi wa Bwana - Amedeus Deogratius, na utembee kwenye halisia za mbaraka wako ndani ya Kristo....more4minPlay
December 29, 2023Zungumza na MlimaKipande hichi kimetolewa kutoka kwenye Kongamano la Imani, ambapo unapaswa kuzungumza na mlima na sio kuzungumza kuhusu mlima. Hakikisha unasikiliza season zima ya kongamano la imani katika podcast hii ya AmedeusLive....more9minPlay
December 29, 2023Imani ya Aina ya MunguSikiliza kongamano hili la imani ambalo lilifanyika mkoa wa Mbeya ambapo utajifunza namna ya kutenda kwa imani ya aina ya Mungu. Mtumishi Amedeus Deogratius alihudumu katika kongamano hili....more9minPlay
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.