Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo.Maudhui ya Podcast hii:Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani,Mt... more
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.
January 12, 2024Baraka zake HaziharibikiBaraka za Bwana zinatajirisha na hazina majuto, hazileti majuto! Baraka zake ni za milele, za kutegemewa. Hakika unapata nakala yako Leo kwa ajili watoto wako na jamii inayokuzunguka. Nakala moja ni sh.3000 na unaweza kulipia makumi, mamia na maelfu ya nakala kwa ajili ya kuwa kufikiwa watoto wa kitanzania....more7minPlay
January 11, 2024Yesu Kristo - Wasifu wa MunguMgundue Bwana Yesu kwa viwango vya juu zaidi na vipya mbali zaidi ya ulivyokuwa unamdhania au kumfikiria. Yesu ndio wasifu wa halisi wa Mungu. Yesu ndiye taswira ya halisi ya Mungu Baba, ukimwona Yesu umemwona Mungu Baba. Jifunze zaidi katika rhapsodi hii ya leo, toleo ya Watu wazima. Tafakari kweli hii na itabadilisha maisha yako kabisa....more12minPlay
January 11, 2024Uchunge Ulimi WakoMaisha yako yatachukua uelekeo wa ulimi (kinywa) wako. Anza kuanzia leo kuongea maneno sahihi kuhusiana na maisha yako ya kila siku na kesho au baadae ya maisha yako. Jifunze zaidi katika TeeVo hii namna kuishi kwa ushindi kila siku kwa kutumia ulimi wako kwa usahihi. Waambie wengine kuhusu TeeVo na wasambazie wanafunzi na teenagers wenzako popote pale walipo....more12minPlay
January 11, 2024Lulu nzuri na ya ThamaniWewe ni mwenye thamani kubwa sana mbele za Bwana Yesu. Yeye anakupenda sana na anataka ujue hivyo na ulimwengu wote ujue kwamba anakupenda na wewe ni kazi ya mikono yake. Jifunze zaidi kwenye nakala hii ya Rhapsodi ya Uhakika toleo la WASOMAJI WA AWALI - rika kati ya miaka 6 hadi 12.Wasambazie wengine kweli hii na leta furaha na tumaini la kweli katika maisha yao....more8minPlay
January 10, 2024Wabebaji wa BarakaWewe ni mtoto wa Mungu na umebeba baraka na utukufu wa ufalme wa Mbinguni. Kwa hiyo kila unakoenda dhihirisha baraka, wema na utukufu huu. Kuwa chachu ya mafanikio kwa watoto wenzako na familia kwa ujumla. Kitabu hiki ni mahususi kwa ajili ya watoto wa rika la miaka 6 hadi 12. Kinapatikana kwa lugha za kiingereza na Kiswahili na nyinginezo. Nakaala moja ni sh.3000 tu!...more8minPlay
January 10, 2024Sifa Mbili Muhimu - TeeVoDhambi ni chochote kilichofanyika nje ya imani inayotenda kazi kwa upendo. Kama mwana wa Mungu umepokea imani na upendo ndani punde tu ulipozaliwa mara ya pili. Usiruhusu dhambi ikutawale tena kuanzia leo hii kwani wewe ni mwenye asili ya haki ya Mungu ndani ya Kristo Yesu. Sambaza kweli hii ya ajabu na maalumu kwa mamilioni ya vijana wa rika kati miaka 13 hadi 19. Kitabu hiki kinapatikana kila mwezi na kina neno la kila siku. Nakala moja ni sh.3000 tu!Wasiliana nasi leo: 0736000999 kwa maelezo au msaada zaidi....more11minPlay
January 10, 2024Pindua Giza LaoWasha nuru ya Injili kila mahali ulipo, wewe ni nuru ya ulimwengu, angaza leo kwa kweli ya neno la Mungu. Hii ni huduma yako na Bwana Yesu anakutarajia umwakilishe leo katika ulimwengu wako. Jifunze zaidi katika Rhapsodi ya Leo, tarehe 10 Januari 2024....more10minPlay
January 09, 2024Neno Moyoni Mwako - RORENeno la Mungu ndio chanzo cha kweli zote, hakuna kweli nje ya neno la Mungu. Wekeza muda wako kujifunza, kukariri, kutafakari na kulitendea kazi Neno la Mungu.Chagua kusoma na kusikiliza rhapsodi ya uhakika kwa wasomaji wa awali. Wasiliana nasi kwa namba hizi: 0736000999...more9minPlay
January 09, 2024Yeye ni Mwongo - ROREKama mtoto wa Mungu leo, gundua hila na udanganyifu wa shetani na kamwe usikubali kurubuniwa naye. Jifunze zaidi katika rhapsodi hii maalumu kwa ajili ya watoto wa rika kati ya miaka 6-12. Inapatikana kwa lugha za kiswahili na kiiengereza....more9minPlay
January 09, 2024Wajibu wako kwenye UfalmeJe, unajua kama mkristo wewe umezaliwa kwenye ufalme wa Mbinguni na ufalme huu upo ndani yako? Tambua kweli hii leo na anza kuishi kama mwana mfalme na sambaza habari hizi za ufalme kila mahali katika ulimwengu wako wa ushawishi. Dhamini nakala hizi leo kupitia Lipa namba hii: 8177098 kama mwitikio wa wajibu wako kwenye ufalme....more11minPlay
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.