Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo.Maudhui ya Podcast hii:Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani,Mt... more
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.
February 15, 2024Nini Kimefunuliwa ndani YakoKimjazacho mtu, ndicho kimtokacho. Ndani yako kumejaa nini!?Upendo, amani, haki, upole, hekima, wema!? Au kumejaa chuki, Hasira, ugomvi, husuda! Jaza kwa wingi neno ndani Yako na litaonekana na kuthibitika kwenye kila jambo linahusu maisha Yako....more14minPlay
February 14, 2024Jikabidhi kwa Neno na RohoUnaweza kuliamini neno la Mungu kukujenga na kuzalisha ndani kile linachosema. Neno ni mwongozo, Neno ni Nuru, Neno ni suluhisho. Litumaini neno na litakupatia urithi katikati ya watakatifu!...more15minPlay
February 13, 2024Baraka ziko ndani ya KristoHakuna baraka unayotaka ambayo haipo ndani. Kama upo ndani ya Kristo, elewa kwamba umebarikiwa kwa Baraka zote za rohoni. Wewe ni kifurushi cha baraka ni kinachodhihirika kila Mahali....more15minPlay
February 12, 2024Zingatia na Ulitafakari NenoNeno la Mungu ni kioo, kinachoweza kubadili muonekano wako, Roho, nafsi na mwili. Kila unapojitizama katika hichi Kuna badiliko linatokea kutoka utukufu hadi utukufu, Imani hadi Imani! Tafakari neno la Mungu kila siku uone badiliko lake maishani Mwako....more15minPlay
February 12, 2024Afya Njema ni Haki Yako.Tembea kwenye afya njema kila siku kwa kufanya ukiri wa AFYA ya KIUNGU kila mara....more7minPlay
February 11, 2024Vitu vyote vipi chini ya Miguu yakoJe unajua kwamba kama umezaliwa ya pili basi wewe ni kiungo katika mwili wa Kristo na mshirika wa tabia za kiungu na wa-urithi wa watakatifu katika nuru. Hebu gundua kweli hizo leo hii na utembee kwenye hatma yako ndani yake....more19minPlay
February 11, 2024Ni nini zaidi Unataka?Kila unachotaka umepewa ndani ya Kristo, kama haki, afya njema, uzima wa milele, ubora, mafanikio, ustawi, ulinzi, mamlaka, amani, na mengine mengi.Gundua Kweli hii na Anza kutembea katika uhalisia wake....more16minPlay
February 07, 2024Uponyaji kwa ajili yakoAmini neno la Mungu, lifanyie kazi Hilo neno! Tenda kama neno linavyosema hata kama hisia zako hazikuchochei kufanya hivyo. Afya njema ni haki Yako, idai, isisitize mpaka iwe ni uhalisi wako....more9minPlay
February 07, 2024Tiketi ya Kupokea kila BarakaJe, unafikiri kuna baraka zimezuiliwa dhidi Yako!? Au unafikiri kuna aina za Baraka ambazo Bwana hajakubariki nazo bado!? Au ni baraka Gani ambayo ungependa kumwomba Bwana akubariki nayo leo!? Jina la Yesu ni tiketi ya Kupokea kila Baraka! Litumie vizuri kuanzia siku ya leo....more16minPlay
February 07, 2024Neno ni Silaha YetuJifunze namna ya kutumia neno la Mungu kama Silaha. Uzima na Mauti vipo kwenye nguvu ya Kinywa. Neno ni upanga mkali ukatao pande mbili. Neno linauwezo wa kuangusha Ngome na kutiisha kila fikra kinzani na injili ya Kristo. Tumia Silaha hiyo kutunza mwili wako na afya Yako kupitia ukiri wa AFYA ya KIUNGU....more12minPlay
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.