Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo.Maudhui ya Podcast hii:Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani,Mt... more
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.
February 20, 2024Fanya Imani Yako iwe HaiPasipo Imani haiwezakani kumpendeza Mungu...Imani ni kanuni ya msingi katika Ufalme wa Mungu.Pasipo Imani haiwezakani kunyakuwaliwa....Chochea Imani Yako leo na Hakikisha ipo hai muda wote.......more14minPlay
February 20, 2024Wewe ni Makao Makuu ya MunguMwili wako ni hekalu la Roho Mtakatifu. Mwili wako ni maskani yake... Moyo wako ni makao yake, dhihirisha tabia yake, ubora wake na hekima yake kila siku....more10minPlay
February 19, 2024Kinywa chako - Sheria yakoKinywa chako ndio kiunganishi kati ya uhalisia wa maisha yako na yale yote aliyokukirimia Mungu katika maisha maisha Yako. Jifunze namna ya kutumia kiunganishi hichi vizuri kwa ajili ya maisha ya ubora, utukufu na ukuu mwingi....more15minPlay
February 19, 2024Ufalme Unaoendeshwa kwa ManenoManeno ni Vitu....Maneno ni malighafi Muhimu na ya msingi Sana katika Ufalme wa Mbinguni...Maneno yanaweza kuamua hatma yako iwe nzuri au mbaya....Maneno yanaweza kubadili mustakhabali wa maisha yako kabisa....Elewa umuhimu wa maneno leo na uyatumie ipasavyo katika Ufalme wa Mbinguni ambamo Leo hii mimi na wewe ni washirika na wazawa....more17minPlay
February 19, 2024Kuwa na fikra ya UfalmeElewa kwamba Kanisa la Yesu Kristo hapa duniani ni sehemu ya Ufalme wa Mungu na hivyo linapaswa kufanya kazi zake kama Ufalme zaidi kuliko taasisi. Fahamu kanuni za Ufalme ambao wewe umezaliwa humo na tembea katika ubora na utukufu wa ufalme huu! Fikra na ufahamu wa ufalme ni dhana halisi unayopaswa kutembea ndani yake kila siku....more16minPlay
February 18, 2024Zingatia maisha YajayoKuna maisha zaidi ya haya! Hapo Dunia tunapita, kuna zama za Muda mrefu zaidi ya hizi za wakati na ziko mbioni kuanza. Fahamu Kweli hii na Anza kujipanga kwa ajili ya zama hizi kwa maana halisi na dhahiri! Usiishi kama hapa ndio mwisho, Hakika hapa sio mwisho wa maisha! Tunatarajia kusambaza nakala hizi za rhapsodi pale mji wa moshi wa mbio za marathon, kuwa sehemu ya kampeni hii kubwa moshi nzima....more16minPlay
February 17, 2024Utambuzi na Werevu wa JuuJe Unataka kuwa mwerevu, mwenye utambuzi wa hali ya juu wa mambo yote ya kiroho na kimweli!? Basi unahitaji kulitafakari neno la Mungu usiku na mchana. Neno la Mungu linauwezo wa kukupa maarifa, Werevu, mtazamo, fikra na uwezo wa ufahamu wa juu sana kuliko malighafi nyingine yoyote duniani. Liendee neno na litabadilisha kabisa maisha yako, katika namna ya ubora na ukuu!...more16minPlay
February 17, 2024Fuata Ushauri WakeRoho Mtakatifu anajua kilichobora kwa ajili yako na kwa ajili ya kila mtu ulimwenguni. Anajua kila kitu, anaweza kukuongoza kwenye kila nyanja ya maisha!Yeye ni Bwana wa mikakati, mshauri wa Ajabu. Maarifa na enzi yote ni Yake......more11minPlay
February 16, 2024Hekima ya MunguHekima ya Mungu ni neno, neno lake limesheni maarifa yake, fikra zake, mtazamo wake, makusudi na mapenzi yake. Tafakari Kweli Yale leo na utembee kwenye hekima ya Kiungu....more9minPlay
February 16, 2024Neno katika MwiliVipi siku ukikutana na maneno Yako, utayapenda na kuyafurahia au utayachukia na kuyakimbia!Maneno ni vitu, maneno kielelezo chako, cha mawazo, matarajio na mtazamo wako. Maneno Yako ni wewe mwenyewe! Maneno yako yanabeba utu wako!...more16minPlay
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.