Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo.Maudhui ya Podcast hii:Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani,Mt... more
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.
March 04, 2024Haki yake kwa ajili ya asili yako ya dhambi.Haki ni zaidi ya kitendo chema kinacholandana na maadili ya Mungu. Haki ni asili ya Mungu. Haki ni namna ya Mungu anavyoona mambo, anavyosikia, anavyofikiri, anavyoitikia na anahukumu! Kupitia Imani ndani ya Kristo Yesu tumehesabiwa haki mbele za Mungu, tumefutiwa hatia na ile hati ya mashitaka imebatilishwa. Amka kwenye Uhalisia huu, tembea kwenye kweli hii....more15minPlay
March 04, 2024Neno lake ni Uthibitisho Unaouhitaji.Neno la Mungu li hai, limevuviwa kwa uweza na nguvu ya Roho Mtakatifu! Linaweza kusabibisha mabadiliko na uhalisia wa kile linachosema. Litafakari na kulitegemea neno kila siku! Neno la Mungu ndio Uthibitisho Pekee unaohitaji!...more17minPlay
March 02, 2024Nyimbo za RohoniJifunze kumwabudu Mungu katika Roho na Kweli! Panda juu zaidi, katika viwango vikubwa zaidi vya ushirika wako na Bwana Yesu kupitia ibada zako binafsi kusifu na kuabudu. Imba wa Roho, imba kwa akili pia. Sifu kwa Roho, sifu kwa akili pia....more16minPlay
March 02, 2024Omba Kwa ajili ya wengineSimama katika nafasi iliyowazi kwa ajili ya familia yako, shule, mji na taifa lako. Unaweza kusabibisha mabadiliko makubwa Sana kupitia Dua, Sala, maombezi na Shukrani kwa ajili ya jamii Yako. Bariki ulimwengu leo kwa kupitia Sala na maombezi....more13minPlay
March 01, 2024Umezaliwa kwa ajili ya maisha Mazuri.Wewe haukuumbwa kwa ajili ya shida na tabu, Bali ubora, afya njema na utukufu. Fahamu haki, Stahiki na wajibu wako ndani ya Kristo na Tembea katika halisia za Kweli hizi za ufalme!...more16minPlay
March 01, 2024Mafanikio yenye kuongezeka DaimaUmeitwa katika umilele.Mungu aweka umilele ndani Yako. Wewe ni kama mti uliopandwa kando kando ya vijito vya maji.Umeunganishwa na mfumo wa Ugavi wa Mungu....Mafanikio Yako ni dhahiri, halisi na ya kudumu......more17minPlay
February 28, 2024Mungu amepangilia maisha Yako kwa Umakini mkuu.Wewe ni kazi ya mikono ya Mungu, Mungu alikundalia maisha Bora kwa kabla ya misingi ya ulimwengu kuwepo. Anataka utembee katika ubora, utukufu na ukuu kila siku.Mafanikio, ushindi, afya njema, ustawi na tija ni mpango wake kwa ajili yako....more14minPlay
February 27, 2024Mungu anazungumza Kupitia Neno Lake.Mungu na Neno lake ni wamoja.Fikra yake, sauti yake, mawazo yake yanawakilishwa katika neno lake!Huwezi kutambua sauti yake kama hautambui neno lake. Jifunze neno lake kila siku....more10minPlay
February 27, 2024Ishi kwa ajili ya KristoMaisha kwako yana maana Gani!? Shauku Yako kuu ni nini katika maisha!?Kwanini unaishi!? Mustakhabali wa maisha Yako ni nini au ni upi!?Sikiliza rhapsodi hii na chagua kuishi kwa ajili ya Kristo....more16minPlay
February 27, 2024Kuzaliwa mara ya Pili - TeeVoIsipokuwa umezaliwa mara ya pili hauwezi kuona wala kuingia katika Ufalme wa Mbinguni...Maisha ni jambo la Kiroho, kilichozaliwa kwa Roho ni Roho na kilichozaliwa kwa mwili ni mwili. Fanya sala ya wokovu mara tuu ya Episode hii na uzaliwe mara ya pili leo hii....more16minPlay
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.