Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo.Maudhui ya Podcast hii:Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani,Mt... more
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.
March 20, 2024Haki - Kipawa kwa Wasio WatauwaJe, unajua ni Kipawa na zawadi kutoka kwa Mungu kwa ulimwengu na sio kwa Wakristo! Kipawa hiki kinakuwa asili yako na uhalisi wako pindi tu unapozaliwa mara ya pili.Kipawa hiki kinakufanya mtawala na hodari katika maisha pale kitambua na kutembea katika Nuru yake. Jifunze zaidi kuhusu Kipawa hiki....more13minPlay
March 19, 2024Mwenye Furaha kila sikuMara ngapi umejishangaa kwamba unafuraha na haujui kwanini!?Furaha ni tunda la Roho ya mwanadamu iliyoumbwa upya na hivyo unapaswa kudhirisha furaha siku zote. Dhihirisha furaha kila siku! Furaha ni kitu cha Muhimu Sana katika Ufalme wa Mbinguni. Jifunze zaidi kupitia episodi hii....more13minPlay
March 18, 2024Jua kile Ulichonacho ndani YakoKuza tabia ya Mungu iliyo ndani ya roho yako kwa kupitia ufahamu na utambuzi wa sifa na tabia za Kiungu na asili yake iliyoko ndani yako.Soma waraka wa Filemoni 1:6 katika matoleo mbalimbali ya biblia upate kuelewa jinsi utambuzi wa vile ulivyonavyo ndani yako katika Kristo Yesu vinavyoweza kuinua maisha yako katika viwango vya juu sana....more11minPlay
March 18, 2024Wewe Sema Ndiyo TuUsijaribu kuwa vile ulivyo tayari....Usijitahidi kupata kile ulichonacho tayari... sema tu, Ndiyo. Mfuate Bwana Yesu na atakufanya kuwa mvuvi wa watu. Jifunze namna ya kufuata kupitia somo na ona badiliko la kipekee katika huduma yako ndani ufalme wa Mungu....more12minPlay
March 18, 2024Wajibu wako wa KiunguElewa wajibu wako ndani ya Mungu. Umeitwa kuzitangaza fadhili za Mungu kila mahali. Umeitwa kumwakilisha yeye kwenye ulimwengu wako.Huu ni wajibu wako kiiungu....more12minPlay
March 11, 2024Kujenga Tabia ya Kiungu Ndani YakoNeno la Mungu linauwezo wa kujenga tabia za kiungu ndani Yako kama utalisikia, utaliamini, Ulitafakari na kulifanya kuwa maisha Yako ya kila siku. Wekeza kwenye neno la Mungu na hakika utakuwa na maisha ya ushindi Daima....more17minPlay
March 09, 2024Kuna Kitu cha tofauti kk kuhusu WeweWewe ni taifa teule, taifa takatifu, jamii ya Mungu, uzao maalumu. Wewe ni milki ya Mungu, wewe sio ajali wala bahati mbaya. Fahamu wewe ni Nani ndani ya KRISTO na ishi katika uhalisi huu!...more16minPlay
March 09, 2024Amefanyika kuwa Sisi pale MsalabaniAlifanyika dhambi yeye asiyejua dhambi...Alichukua asili yetu na kuwa mbadala wetu ili tuchukue asili yake na kuchukua haki yake...Ametufanya kuwa Wana wa Mungu, wenye asili na uzima wa Mungu...Tafakari Kweli hii na tembea katika Nuru hii....more16minPlay
March 06, 2024Kuzaliwa katika Ufalme wa Mwana wa Pendo LakeKuzaliwa mara ya pili ni kigezo dhahiri.Ufalme wa Mwana wa pendo la Mungu ni Ufalme halisi uliopo na unaofanya kazi hata sasa. Fahamu namna ya kuenenda na kuishi ndani ya Ufalme huu kupitia episode hii....more15minPlay
March 06, 2024Amekupatia Kila KituBwana Yesu ni Kila Kitu. Bwana Yesu ni uzima wa milele, yeye ni Mungu wa Kweli. Mfahamu zaidi Yesu na utembee kwenye uhalisi Kweli ya neno lake na mapenzi yake kwako. Kristo ndani Yako ni tumaini la Utukufu na ushindi mkuu! Jiandae kushiriki mkutano mkubwa wa uponyaji unaitwa "Mito ya Uponyaji"....more14minPlay
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.