Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Daka Code ni show ya kukupa infos mbalimbali kuhusiana na daily trending stories katika tasnia ya Burudani, Tech na Ubunifu kwa kiswahili. Don't forget to subscribe to get more updates daily!!!... more
FAQs about DAKA CODE:How many episodes does DAKA CODE have?The podcast currently has 89 episodes available.
September 29, 202121 Savage afunguka kuhusu Funbase ya Drake Atlanta | App Tracking Transparency ya Apple haijafanikiwa kudhibiti app kutrack watuStory za Siku:- Ashanti kumiliki Masters zake zote za Muziki!- 21 Savage afunguka kuhusu Funbase ya Drake Atlanta- Mfumo wa Apple wa kuzuia App Tracking haujaweza kuzuia vizuri- Microsoft imeweka uhuru kwa Third Party App Store kuwepo katika Microsoft Store...more16minPlay
September 28, 2021R Kelly amekutwa na hatia | TikTok imefikisha watumiaji Bilioni 1 | Android 2.3 imefungiwaStory za Siku:- R Kelly amekutwa na hatia- Mahusiano ya The Weeknd na Angelina Jolie- TikTok imefikisha watumiaji Bilioni- Android 2.3 imefungiwa- Spotify inatumia sana charge...more17minPlay
September 24, 2021NBA Young Boy ametoa Album mpya | Jason Derulo ameachana na mpenzi wakeStory za Siku:- NBA Young Boy ametoa Album mpya- Jason Derulo ameachana na mpenzi wake...more9minPlay
September 23, 2021Tems amekutana na Rihanna | Picha zilizopigwa na iPhone 13 Pro katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha TanzaniaStory za Siku:- Tems amekutana na Rihanna- Nominations katika tuzo za AFRIMA- Picha zilizopigwa na iPhone 13 Pro katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha- Vifaa vipya vya Microsoft...more14minPlay
September 22, 2021Birdman amefunguka kuhusu skendo yake na Lil Wayne | iOS 15 imekosa features nyingi katika iPhone za zamaniStory za Siku:- Birdman amefunguka kuhusu skendo yake na Lil Wayne- Photographer wa Davido amefariki- J Cole amewataja Rappers anaowakubali- Mabadiliko mengi ya iOS 15 yanakubali katika iPhone za mwaka 2018 na kuendelea tu- Samsung imepata hakimiliki ya aina mpya ya simu ambazo zina uwezo wa kujikunja katika kioo-...more15minPlay
September 21, 2021Drake Vs Michael Jackson | Style mpya ya kufunga Box za iPhone 13 | Features mpya za TelegramStory za siku:- Drake Vs Michael Jackson- Mjengo mpya wa Kanye West- August Alsina kuacha muziki- Features mpya za Telegram- Style mpya ya kufunga Box za iPhone 13- TouchID itawekwa ndani ya kioo 2023- Folding iPhone inategemewa itatoka mwaka 2024...more19minPlay
September 20, 2021Justin Beiber ameweka rekodi mpya katika Spotify | iOS 15 na mabadiliko yake | Sir. Clive SinclairStory za leo:- Justin Beiber amefikisha - iOS 15, iPadOS 15 na watchOS 8 zinatoka leo kwa watumiaji wa iPhone, iPads na Apple Watch- RIP Sir Clive Sinclair...more15minPlay
September 17, 2021Ikulu ya Marekani imemuita Nick Minaj | Waya wa Internet umeonekana katika ufukwe | App za Kupata taarifa za Battery percentage kwa SautiStory za Siku- Ikulu ya Marekani imemuita Nick Minaj- Waya wa Internet umeonekana katika ufukwe- Chip mpya ya iPhone - A15 Bionic- Microsoft inapanga kuondoa mfumo wa Password - App za kutambua percentage ya Battery kwa kutumia mfumo wa Sauti#MuchThanks...more26minPlay
September 16, 2021Album mpya ya Meek Mill | WhatsApp inajaribu kuweka Yellow Pages | AMC itaweka uwezo wa watu kununua tiketi kwa CryptoStory za Siku- Album mpya ya Meek Mill- Kanye West na Kim wapo sawa- Lil Nas X alijibu kuhusu ushawishi wake kwa vijana na watoto- WhatsApp inaweka mfumo wa kuonyesha taarifa za maeneo ya karibu- AMC imeruhusu matumizi ya Bitcoin, Litecoin na Ethereum kutumika katika kununua tiketi za online - Spotify inatumia Dislike button kuboresha mfumo wake...more15minPlay
September 15, 2021Album ya Baby Keem | iPhone 13 | iPad mini | Apple Watch Series 7Story za Siku- Album mpya ya Baby Keem - The Melodic Blue- Ariana Grande alikuwa anavamiwa- Rihanna alivaa kutoa ujumbe- iPhone 13 - iPad Gen 9- iPad mini- Apple Watch Series 7...more17minPlay
FAQs about DAKA CODE:How many episodes does DAKA CODE have?The podcast currently has 89 episodes available.