Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Daka Code ni show ya kukupa infos mbalimbali kuhusiana na daily trending stories katika tasnia ya Burudani, Tech na Ubunifu kwa kiswahili. Don't forget to subscribe to get more updates daily!!!... more
FAQs about DAKA CODE:How many episodes does DAKA CODE have?The podcast currently has 89 episodes available.
October 26, 2021Meek Mill na Kesha Cole wameomba Record Label ziwalipe pesa zao | iOS 15.1 imetoka | Tesla imefikisha Market Cap Tril 1 | DJI imetoa kamera iliyounganishwa na GimbalStory za Siku:- Meek Mill na Kesha Cole wameomba Record Label ziwalipe pesa zao- CK azidi kuvunja rekodi Billboard- Lil Durky amewakataa mashabiki wake- iOS 15.1 imetoka- China kutengeneza- Tesla imefikisha Market Cap ya Dola Trilioni 1 $ - DJI imetoa kamera inaunganishwa na Gimbal - Update za TikTok...more19minPlay
October 18, 2021Album mpya za Week hii | Travis Scott na Don Toliver kwenye stage | Drone iliyosafirisha Mapafu kwa dakika 6 | Apple EventStory za Siku:- Album mpya zilizotoka weekend hii- Young Thug amemtaja Drake kuwa ni mtu ambaye yupo Real katika Industry ya mziki- Travis Scott na Don Toliver kwenye stage- Netflix imepata faida kubwa katika Series ya Squid Game- Apple Event - Leo Usiku - Drone zinatumika kusafirisha damu, dawa na viungo vya mwili kuokoa maisha ya wagonjwa....more16minPlay
October 15, 2021Adele ametoa nyimbo mpya | Mauzo ya Simu duniani | Canon imetoa lens ya Dual-Fisheye ya kurekodi video za VRStory za Siku:- Adele ametoa nyimbo mpya na atatoa Album mpya hivi karibuni- Young Thug, Mac Miller, Coldplay wameachia Album mpya- Mfumo mpya wa Ubuntu 21.10- Mauzo ya simu duniani Q3 2021- Twitter kuweka matangazo yatika sehemu ya comments- Canon imetoa lens ya Dual-Fisheye inayoweza kurekodi video za VR...more14minPlay
October 13, 2021Tyga amejisalimisha polisi | Wizkid kufunga ndio na manager wake | Mfumo mpya wa Samsung One UI 4.0Story za leo:- Tyga amejisalimisha polisi- Wizkid kufunga ndio na manager wake- Nikki Minaj amewachana female rappers wa sasa- Mfumo mpya wa Samsung One UI 4.0- Snapchat ilikuwa haifanyi kazi- Event mpya ya Apple October 18- Google TV inaweka uwezo wa kuweka Watchlists na Profiles...more16minPlay
October 12, 2021Wizkid na Tems wameingia katika Top 10 ya Billboard | Instagram inaweka sehemu ya kuelezea matatizo ya kiufundi | iOS 15.0.2 imetokaStory za siku: - Wizkid na Tems wameingia katika Top 10 ya Billboard - Tyga kwenye kashfa ya kumpiga Ex-girlfriend wake - Instagram inaweka sehemu ya kuonyesha taarifa za matatizo ya kiufundi- iOS 15.0.2 imetoka kwa watumiaji wa iPhone- Redmi inapanga kuwa na mfumo wake- iPad Pro itakuwa na muundo mpya wa Landscape Mode...more13minPlay
October 06, 2021YouTube ya R.Kelly imefungiwa | Instagram inaondoa IGTV | Telegram imepata watumiaji Mil 70 baada ya Facebook kuwa na matatizoStory za siku:- YouTube ya R.Kelly imefungiwa- Sir Elton John amemsifia Young Thug katika freestyles- Instagram inaondoa IGTV- Telegram imepata watumiaji wapya Milioni 70- Windows 11 imetoka rasmi- Google Pixel zinatoka October 19-...more16minPlay
October 05, 2021Justin Beiber amezindua brand ya Cannabis | Facebook, Instagram na WhatsApp zilikuwa hazipatikani | Feature mpya katika app ya KineMasterStory za siku:- Justin Beiber amezindua brand ya Cannabis - Utajiri unamkosesha amani Akon- Facebook, Instagram na WhatsApp zilikuwa hazipatikani- Microsoft Office 2021 imetoka- Imefika Miaka 10 tangu Steve Jobs alipofariki- Feature mpya katika app ya KineMaster- Jinsi ya kutumia Mask Effect kwenye Videoleap...more32minPlay
October 04, 2021Kanye West amesajili DONDA katika brand za vifaa vya Electronic | WhatsApp inaweka mabadiliko katika Voice Messages | App inayotumia kamera kufanya hesabuStory za leo:- Kanye West amesajili DONDA katika brand za vifaa vya Electronic- Drake na The Weeknd kutengenezewa somo lao nchini Canada- WhatsApp inaweka mabadiliko katika Voice Messages- FaceID katika iPhone 13 itakuwa inaweza kufanya kazi endapo kioo kitabadilishwa- Clubhouse inaweka sehemu ya kurekodi mazungumzo- App inayotumia kamera kufanya hesabu- Ku-edit picha kwenye WhatsApp...more18minPlay
October 01, 2021Mafanikio ya Tems katika Mziki | Android 12 itakuwa na uwezo wa kurekodi video katika hali ya hatari | Video ya kwanza kuwekwa YouTubeSrory za siku:- Davido anatumiza zaidi ya Milioni 100 kulipa DJs wa Marekani- Mafanikio ya Tems katika Mziki- Android 12 itakuwa na uwezo wa kurekodi video katika hali ya hatari- Video ya kwanza kuwekwa YouTube...more20minPlay
September 30, 2021Justin Bieber ameongoza kusikilizwa Spotify Mwezi huu | Figo ya Bandia imeonyesha mafanikio makubwa | Facebook imeanza kuweka Reels katika FacebookStory za Siku:- Justin Bieber ameongoza kusikilizwa Spotify Mwezi huu!- Ckay amewapita Wizkid na Tems kwenye Shazam- Figo ya bandio imeonyesha mafanikio makubwa- Facebook imeanza kuweka Reels katika app ya Facebook- Fahamu matatizo ya iPhone 13...more14minPlay
FAQs about DAKA CODE:How many episodes does DAKA CODE have?The podcast currently has 89 episodes available.