Story za Siku:
- Adele amegoma kuendelea na Interview kisa Albamu yake!
- Mtoto wa "Malcom X" afariki dunia Nyumbani kwake, Polisi Wanaendelea na Uchunguzi.
- Wimbo wa Rihanna "We Found Love" wafikisha Jumla ya Views Billion 1.
- Spotify imetoa "Shuffle Play" katika Albums
- Instagram na Facebook Messenger hazitakuwa na uwezo wa End-to-End Encryption
- Spotify imeweka Lyrics
- Apple iliweka taratibu mpya za "Right to Repair"
- Gloves za Meta (Facebook)
- Jinsi ya Content Creator kutunza Followers