We are back, tumerudi tena katika Season 2 ya Podcast hii. Endelea kupata updates na infos za msingi ambazo zimejiri kwa wiki kupitia Daka Code.
Story za Leo
1. Fahamu yaliyojiri kuhusu uzinduzi wa Album mpya ya Davido
2. Twitter imerudisha alama za Verification katika akaunti maarufu
3. iOS 17 itakuwa inaruhusu kuweka apps nje ya App Store
4. BeReal imeungana na app ya Spotify na Apple Music
5. Teknolojia ya 6G imeanza majaribio na China imeweka rekodi ya kihistoria
6. Akili Bandia imeanza kupatikana kwenye platform za kutengeneza Audio
Usisahau ku-subscribe na kufuatilia more episodes.
Bless up