Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Daka Code ni show ya kukupa infos mbalimbali kuhusiana na daily trending stories katika tasnia ya Burudani, Tech na Ubunifu kwa kiswahili. Don't forget to subscribe to get more updates daily!!!... more
FAQs about DAKA CODE:How many episodes does DAKA CODE have?The podcast currently has 89 episodes available.
September 13, 2021Miaka 25 ya kifo cha 2Pac | iPhone zitakuwa na storage ya 1TB | App za Kamera maarufu katika Video recordStory za Siku:- Miaka 25 ya kifo cha 2Pac- iPhone Pro zitakuwa na 1TB- Galaxy Note haitoki mwaka huu- iPhone 13 itakuwa na portrait video- App za Kamera za Video zinazoongoza...more14minPlay
September 10, 2021BET Nominees | Apple Music kuanza kulipa DJ's Mixes | Jinsi ya kutumia Simu kama remote katika Smart TVStory za Leo:- BET Nominees- Apple Music kuanza kulipa DJ's Mixes- Galaxy S22 haitakuwa na kamera ya 200MP- Rangi mpya za iPhone Pro- Facebook na Ray-Ban zimetengeneza Smart Glasses- Jinsi ya kutumia Simu kama remote katika Smart TV...more19minPlay
September 08, 2021Rihanna amemshtaki baba yake | Event ya Apple September 14 | App ya kujaribu vitu kabla ya kununua onlineStory za Siku:- Rihanna amemshtaki baba yake- Travis Scott na Kylie Jenner wanategemea mtoto wa pili- Event ya Apple ya September 14- LG imetoa aina mpya ya kioo- Gmail itaweka Video na Audio Calls- WhatsApp imeanza kukubali namba moja katika vifaa vinne- App ya kujaribu vitu kabla ya kununua online...more16minPlay
September 07, 2021Kifo cha Michael K. Williams | El Salvador imeanza kutumia Bitcoin | Fahamu kuhusu MegaPixelStory za Siku:- Kifo cha Michael K. Williams- Diddy ametoa maoni yake kuhusu Album ya Drake na Album ya Kanye West- El Salvador imethibitisha kuanza kutumia Bitcoin kama fedha halali ya malipo- TikTok imezidi kuipita YouTube kwa kuwa na watu wengi wanaotumia muda mwingi kutazama videos- MagSafe Charger mpya- Fahamu kuhusu Megapixel za kamera - Ukipiga picha na watu wengi unaonekana vizuri kuliko picha ya peke yako...more20minPlay
September 06, 2021Battle ya Kanye West na Drake | WhatsApp inajaribu kuweka Reactions | App 5 Bora za kutumia katika Video EditingStory za Siku:- Battle ya Kanye West na Drake- Album mpya ya Drake- Mercedes-Benz imetambulisha teknolojia ya gari kusoma akili ya dereva- WhatsApp inajaribu kuweka mfumo wa Reactions- Amazon inakaribia kutoa TV zake binafsi- Samsung imetoa sensor mpya ya kamera za 200MP- App 5 Bora ambazo unaweza kutumia katika Video Editing...more24minPlay
September 02, 2021Ukweli kuhusu bifu ya Kanye West na Drake | Instagram imekuwa na matatizo siku ya Leo | Kamera yenye uzito mkubwaStory za Siku:- Ukweli wa Bifu ya Kanye West na Drake- Wasanii ambao watakwepo katika Album mpya ya Drake- Instagram ilikuwa na matatizo- Xiaomi imekamilisha usajili wa magari ya umeme- Twitter imeweka sehemu ya Super Follow- Kamera yenye uzito mkubwa...more21minPlay
September 01, 2021Rappers wenye streams Bilioni 3 kwa mwaka huu | Apple imeweka uwezo wa kuhifadhi Driving License katika iPhone | Effects za 3D katika TikTokStory za Siku:- Rappers wenye streams Bilioni 3 kwa mwaka huu - Album ya Drake inakaribia- Apple imeweka uwezo wa kuweka Driving License katika iPhone - Google imetambulisha akili bandia inayoweza kuongeza quality ya Picha- Jinsi ya kupata effects za 3D katika TikTok...more18minPlay
August 31, 2021Soulja Boy amelalamika kuhusu Album ya DONDA | China imepunguza muda wa kucheza games kwa watoto | Jinsi ya kutumia kamera ya simu katika app ya GoogleStory za Siku- Soulja Boy amelalamika kuhusu Album ya DONDA- 21 Savage ameingiza faida kubwa katika Streaming Platforms kuliko shows- China imepunguza muda wa watumiaji wenye umri chini ya miaka 18 kucheza video games- WhatsApp imeweka maboresho mapya katika app ya PC na WhatsApp Web- Samsung Galaxy Watch 4 ina Walkie Talkie- Matumizi ya Kamera katika GoogleBLESS!!!...more23minPlay
August 30, 2021Album ya Donda imetoka | iPhone 13 kuwa na uwezo wa mawasiliano na Satellite | App 5 bora kwa ku-edit pichaStory za Siku:- Album ya Donda imetoka- Drake anakaribia kutoa Album- iPhone itakuwa na uwezo wa mawasiliano ya Satelite- Twitter imeweka uwezo wa kuuza tiketi za Twitter Spaces.- Internet (mtandao) kwa miaka ijayo- Clubhouse imeweka uwezo wa Spatial Audio- App 5 bora za kuedit picture katika App Store na Play Store....more21minPlay
August 27, 2021Christian Ronaldo amerudi Manchester United | Netflix imeanza kuweka games katika app ya Android | Jinsi ya kuweka cover katika Instagram Reels....more20minPlay
FAQs about DAKA CODE:How many episodes does DAKA CODE have?The podcast currently has 89 episodes available.