1. Fahamu kuhusu yote yaliyotokea kwenye tuzo za Grammy 2021
2. Beyonce kuvunja rekodi ya kuwa na tuzo nyingi za Grammy
_________
3. Facebook imesema itaanza kuweka matangazo katika video za dakika moja.
4. WhatsApp itaacha kufanya kazi katika iPhone zinazotumia iOS9, hivyo itakuwa haifanyi tena kazi katika iPhone 4S
5. Apple itaongeza ukubwa wa Battery katika iPhone ambayo itatoka mwaka huu (2021).
__________
6. Fahamu ni kwanini picha za miaka ya zamani, watu walikuwa hawaonyeshi tabasamu.
7. Flash-ligh za miaka ya Zamani
______
Shukran kwa wafuatiliaji wote, usiache ku-Follow Podcast hii kwa infos zaidi.
Daka Coooooode!!!!