Dakika 10 Za Kocha

Dakika 10 Za Kocha

By Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.BusinessEntrepreneurshipEducationSelf-ImprovementInvesting
Download on the App Store

Dakika 10 Za Kocha episodes

  • #DZK004; Endelea Na Safari Ya Mafanikio Hata Mambo Yanapokuwa Magumu.
    ENDELEA HATA KAMA MAMBO NI MAGUMU

    Rafiki,
    Safari ya mafanikio makubwa haijawahi kuwa rahisi.

    Unaweza kujua unachotaka na ukaweka juhudi kubwa.

    Lakini bado matokeo yakawa tofauti na matarajio.

    Hapo ndipo wengi hukata tamaa na kuacha.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekupa sababu 5 za kwa nini unapaswa kuendelea hata mambo yanapokuwa magumu.

    Isome barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK003; Furahia Kutokueleweka Na Wengine
    Furahia Kutokueleweka Na Wengine.

    Rafiki,

    Utakapofanya zoezi la *KWA NINI SABA* na ukalijua kusudi la maisha yako na ndoto zako kubwa,

    Utagundua kwamba uko tofauti kabisa na kila mtu.

    Watu wote wanaokuzunguka hawatakuelewa.

    Watakuona kama mtu uliyechanganyikiwa na utakayeenda kushindwa.

    Wengi wanakwamishwa na hilo na kushindwa kufanikiwa.

    Kama wewe unataka kufanikiwa, *lazima ufurahie kutokueleweka na wengine.*

    Kwenye #BaruaYaKocha nimeeleza jinsi ya kutekeleza hilo.

    Isome barua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK002; Kwa Nini Saba Zitakazokupa Mafanikio Makubwa.
    KWA NINI 7 ZITAKAZOKUPA MAFANIKIO MAKUBWA

    Rafiki yangu mpendwa,

    Ulikuja hapa duniani bila maelekezo yoyote ya unachoweza kufanya na kwa nini uko hapa duniani.

    Siyo kwa sababu umekuja hapa duniani bahati mbaya, bali kwa sababu majibu yako ndani yako.

    Lakini kwa bahati mbaya sana, hujawahi kupata nafasi ya kujua majibu hayo.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekupa mchakato wa KANUNI 7 utakaokuwezesha kujua KUSUDI LA MAISHA YAKO.

    Kwenye #Dakika10ZaKocha nimefafanua pia kuhusu mchakato huo.

    Hiki ni kitu unachopaswa kukielewa kama kweli umedhamiria kupata mafanikio makubwa.

    Soma barua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK001; Rudia Rudia Bila Kuchoka (MAKIRITA 10 X 10 KILA SIKU)
    Rudia Rudia Bila Kuchoka

    Rafiki,

    Kwa kipindi ambacho nimejifunza na kuishi kanuni za mafanikio,

    Kuna kitu kimoja nimeona kinawatenganisha wanaofanikiwa na wanaoshindwa.

    Kitu hicho ni uwezo wa kurudia rudia mambo yanayochosha bila kuchoka.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekushirikisha mambo 10 (MAKIRITA 10 × 10 KILA SIKU) ninayoazimia kuyafanya kwa kurudia rudia kila siku bila kuacha.

    Karibu ujifunze mambo hayo, ili na wewe uweze kupanga utakayofanya.

    Na kama utataka tushirikiane kwa karibu katika kuyaishi, nafasi hiyo ipo.

    Isome barua hapa, https://learn.tanzaniteskills....

    Pia sikiliza #Dakika10ZaKocha ambapo nimefafanua hilo.

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK000; Kwa Heri Mashine, Karibu Tena Binadamu.
    Kwa Heri Mashine, Karibu Tena Binadamu.

    Rafiki,
    Ujio wa Akili Mnemba (AI) umeleta mapinduzi na manufaa makubwa.

    Lakini pia umekuja na hatari ya kupoteza kitu pekee ambacho kimekuwa kinatutofautisha sisi binadamu na viumbe wengine.

    Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha hilo na jinsi ya kuliepuka.

    Pia kwenye #Dakika10ZaKocha, nimefanua kwa kina.

    Soma barua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK009; Hakuna Mbadala Wa Ubora Wa Juu Kwenye Mafanikio Makubwa
    🔥 UTAJIRI, HESHIMA NA FURSA HAVIENDI KWA WATU WA KAWAIDA.

    Dunia inakulipa kwa kiwango cha UBORA unaouonyesha kila siku.

    Kila jambo lina maana. Kila tabia ina gharama. Kila uzembe unakupunguzia thamani.

    ⚠️ Watu wengi wanataka maisha makubwa huku wakifanya vitu kwa kiwango cha chini.
    Na hapo ndipo wanapopoteza kila kitu bila kujua.

    #BaruaYaKocha itakufundisha kwa nini:
    ✅ Ubora ni mfumo wa maisha
    ✅ Dunia inakuhukumu kwa sehemu yako mbaya zaidi
    ✅ Mambo madogo ndiyo yanayojenga mafanikio makubwa
    ✅ Watu wa kiwango cha juu hawaishi kwa mazoea

    💥 Kama unataka kuingia kwenye asilimia 10 ya watu wanaofanya vizuri sana, usikose kusoma barua hii.

    Fungua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK008; Fanya Kwa Kupitiliza
    🔥 Watu wengi wanabaki wa kawaida kwa sababu wanaogopa kuonekana “wamepitiliza.”

    Ukitaka fedha kubwa, mafanikio makubwa, na maisha makubwa… lazima ukubali:
    ✔️ Kusemwa
    ✔️ Kuonekana tofauti
    ✔️ Kufanya kazi kupita kawaida
    ✔️ Kuwa na moto ambao watu wengine hawauelewi

    Usipunguze makali yako ili kuwafanya watu wengine wajisikie vizuri. 🚀

    #BaruaYaKocha itabadilisha namna unavyoona mafanikio, kazi, na maoni ya watu kuhusu maisha yako. 🔥

    Fungua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK007; Usipojipanga, Utapangwa.
    🔥 WATU WENGI HAWAISHI MAISHA YAO… WANATEKELEZA MAAGIZO YA JAMII.

    Ukikosa kuchagua maisha yako, dunia itakuchagulia.

    Ukikosa kusudi lako, utaishi kwa kuwafurahisha wengine.

    Ukikosa mfumo wako, utaendeshwa na mfumo wa watu wengine.

    #BaruaYaKocha itakufungua macho kuhusu:
    ✔️ Kwa nini watu wengi hupoteza mwelekeo wa maisha
    ✔️ Jinsi jamii inavyokuibia ndoto zako taratibu
    ✔️ Kwa nini kufuata kundi ni hatari kubwa
    ✔️ Namna ya kujenga maisha yako mwenyewe kwa ujasiri mkubwa

    Kama unahisi maisha yako yanaendeshwa na mazingira kuliko maamuzi yako mwenyewe, hii barua ni kwa ajili yako.

    Soma mpaka mwisho. Inaweza kubadilisha kabisa namna unavyoishi maisha yako. 🔥

    Fungua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK006; Swali Pekee Litakalokukomboa Kimafanikio
    🚨 UCHOVU WAKO HAUTOKANI NA KAZI NYINGI… BALI VITU VISIVYO NA MAANA! 🚨

    Watu wengi wako bize…
    Lakini maisha yao hayasogei mbele. 😔

    📌 Maneno mengi yasiyo na faida.
    📌 Mijadala isiyo na matokeo.
    📌 Simu na mitandao inayomeza muda.
    📌 Watu wanaonyonya nguvu na umakini wako.

    Kwenye #BaruaYaKocha utajifunza:
    🔥 Kwa nini maisha yako yamejaa kelele zisizo muhimu
    🔥 Jinsi ya kupata utulivu, muda na umakini mkubwa
    🔥 Sababu watu wenye mafanikio hujifunza kusema HAPANA
    🔥 Swali moja rahisi linaloweza kubadilisha maisha yako kabisa

    ⚠️ Ukimaliza kusoma barua hii, hutatazama muda wako kwa namna ileile tena.

    SOMA SASA. 🧠🔥

    Fungua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min
  • #DZK005; Jua Hasa Unachotaka, Uwe Hatari Kwenye Mafanikio
    ⚠️🧠 UKIJUA HASA UNACHOTAKA, UNAKUWA MTU HATARI SANA KWENYE MAFANIKIO

    Watu wengi wanaishi maisha ya kuchoka, kuhangaika na kuzunguka sehemu moja,

    Kwa sababu hawajajua hasa wanataka nini.

    Nguvu zao zinatawanyika kila upande. 😓

    Lakini siku utakapojua hasa unachotaka kwenye maisha yako…

    Unakuwa MTU HATARI sana kwenye mafanikio. 🔥💣

    Unaanza kuona usumbufu kama adui. ⛔

    Unaanza kutumia muda kwa makusudi. ⏳

    Unaanza kufanya maamuzi makubwa bila kuogopa. 🎯

    Na maisha yako yanaanza kwenda mbele kwa kasi ambayo watu hawaielewi. 🚀

    #BaruaYaKocha itakufungua macho kuhusu nguvu kubwa ya kuwa na mwelekeo mmoja wa maisha.

    Soma kwa makini sana. 👇🔥

    Fungua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

    Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

    Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

    Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

    Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

    Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
    1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
    2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
    3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
    Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
    1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
    2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
    3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
    Karibu ujifunze.
    11 min

About Dakika 10 Za Kocha

From the publisher's feed

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka…