π₯π° NJIA INAYOONEKANA SALAMA NDIYO HATARI KUBWA ZAIDI! β οΈπ
Watu wengi wanaogopa kuacha ajira, kuanza biashara, kuhama kwenda sehemu mpya, au kujitoa kikamilifu kwenye ndoto zao kwa sababu wanaona ni hatari kubwa. π¨
Lakini ukweli ni huu:
π« Kutochukua hatua ndiyo hatari kubwa zaidi.
π« Kubaki ulivyo ndiyo hatari kubwa zaidi.
π« Kuchelewesha ndoto zako ndiyo hatari kubwa zaidi.
π« Kuchagua salama ndiyo hatari kubwa zaidi.
π Wakati wengine wanaona hatari, wewe unatakiwa kuona fursa.
π Kwenye #BaruaYaKocha, utajifunza kwa nini hatua unayoogopa leo inaweza kuwa ndiyo daraja la utajiri mkubwa kesho.
π₯ Kwa mtu mwenye ndoto kubwa, salama ndiyo hatari kubwa zaidi.
Fungua hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.