Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Pata mafunzo mafupi kila siku kutoka kwa Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE. Mafunzo yamejikita kwenye maeneo makuu matatu; 1. Mafanikio - Kujenga Tabia na Nidhamu ya Mafanikio. 2. Fedh... more
FAQs about Dakika 10 Za Kocha:How many episodes does Dakika 10 Za Kocha have?The podcast currently has 25 episodes available.
January 12, 2017SAA MOJA MUHIMU SANA KWENYE MAISHA YAKOKatika masaa 24 ya siku, unahitaji kutenga saa moja kwa ajili yako binafsi. Kwa kuweza kuitumia vizuri saa hii moja utaweza kuwa na maisha bora yenye mafanikio makubwa.Sikiliza kipindi hiki ujue njia bora za kuenga na kutumia saa moja kwa ajili yako binafsi.Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support....more15minPlay
October 03, 2016Hakuna Maisha Kama Hakuna MabadilikoMabadiliko ni kitu ambacho kinapaswa kufanywa kila siku na kila mtu.Kama unataka kuboresha maisha yako, lazima ubadili kitu kila siku.Sikiliza kipindi hiki kujifunza kuhusu mabadiliko.Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support....more16minPlay
September 27, 2016Fukuza Wateja Hawa.Siyo kila mtu anaweza kuwa mteja wa biashara yako.Unahitaji kuchagua aina ya wateja ambao utafanya nao biashara na kujua wateja ambao unahitaji kuwaepuka kwenye biashara yako. Sikiliza kipindi hiki cha leo kujua wateja wakuwa nao na wateja wa kuwafukuza.Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support....more15minPlay
September 21, 2016Usikubali KirahisiKila unachofanya kwenye maisha yako utakutana na changamoto.Je unapambanaje na changamoto hizi?Sikiliza kipindi hiki kupata mbinu za kukabiliana na changamoto unazokutana nazo.Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support....more15minPlay
August 31, 2016Kulalamika...Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support....more14minPlay
FAQs about Dakika 10 Za Kocha:How many episodes does Dakika 10 Za Kocha have?The podcast currently has 25 episodes available.