Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Karibu katika Kanisa la Ebenezer Revival International Ministry na Nabii Analyce Ichwekeleza. Hosted on Acast. See acast.com/privacy... more
FAQs about Ebenezer Revival International Ministry:How many episodes does Ebenezer Revival International Ministry have?The podcast currently has 47 episodes available.
March 18, 2024Kuteka Baraka Za Wazazi - Nabii Analyce IchwekelezaWaheshimu baba na mama yako upate baraka ( Waefeso 6:2-3). Kuna mambo mengine unayopitia ni kwa sababu mioyo ya wazazi wako ( wa kiroho au wa kimwili) imefunga! Ujue kufanikiwa kwako kutakuwa ni kugumu sana. Maana kuna watu ambao waliondoka nyumbani kwa wazazi au walezi wao kwa mafarakano kisha hawajarudi mpaka wazazi wamekufa,au hawajarudi mpaka leo. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 21minPlay
February 26, 2024Uzia Lazima Afe Umuone Mungu - Nabii Analyce IchwekelezaIsaya 6 :1"Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha EnziKilicho juu Sana na kuinuliwa SanaKUNA WATU WANATAKIWA WAFE ILI UONE MAFANIKIO YAKO1.Yeyote alikufanya usione mafanikio katika biashara yako afe UONE2.Ikiwa Kuna mfalme Uzia katika Maisha YAKO afe umwone Bwana3.Nani anasimama kinyume na maombi yako afe ujibiwe Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 2minPlay
January 29, 2024Badilisha Mawazo Yako Ili Uishi Maisha Mazuri - Nabii Analyce Ichwekeleza"Na lo lote mtakaloomba katika sala, mtapewa, kama mna imani.” Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more43minPlay
January 23, 2024Nakataa Kuonewa - Pastor MariettaKwa maana neema ya Mungu iletayo wokovu imedhihirishwa kwa watu wote. Neema hiyo inatufundisha kukataa uovu na tamaa za dhambi, tupate kuishi maisha ya kiasi, ya haki na ya kumcha Mungu, katika ulimwengu huu. Tito 2:11-12 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 7minPlay
January 16, 2024Kuondoa Chochote Kinachokunyima Mwendo - Pastor Frank"Wautia mwaka taji ya mavuno mengi; hata njia ngumu hufurika kwa wingi. Mashamba ya nyika yanakuwa malisho mazuri, na vilima kuchanua kwa furaha. Malisho yamepambwa kwa makundi ya kondoo, na mabonde yameezekwa nafaka. Wote wanapiga kelele na kuimba kwa furaha!"- Zaburi 65:11-13 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more29minPlay
October 02, 2023Mwezi wa Neema na Kibali - Nabii Analyce Ichwekeleza. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 8minPlay
August 07, 2023Mwezi Wa Roho Mtakatifu - Nabii Analyce IchwekelezaYohana 3:5"Yesu akamjibu, "Kweli nakwambia, mtu asipozaliwa kwa maji na Roho, hawezi kamwe kuingia katika ufalme wa Mungu." Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more50minPlay
July 26, 2023Kuharibu Roho Zinazo Tufatilia - Nabii Analyce Ichwekeleza.. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 7minPlay
April 17, 2023Manasseh Azaliwe Kwenye Maisha Yako - Nabii Analyce IchwekelezaKama tunavyojua, Manase alikuwa mfalme mbaya sana wa Yuda, lakini alipotubu dhambi zake na kumwomba Mungu msamaha, Mungu alimrejesha kwa neema yake. Kwa hivyo, tunaweza kusema kwamba Manase ni muujiza mkubwa ambao unaweza kusuluhisha shida zetu. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 26minPlay
February 27, 2023Mambo Unayopasiwa Kufanya Ukiwa Kwenye Wakati Mgumu - Nabii Analyce Ichwekeleza"Mambo Unayopaswa Kufanya Ukiwa Kwenye Wakati Mgumu" ni mambo ambayo unapaswa kufanya wakati unapitia kipindi kigumu au changamoto maishani. Katika mahubiri haya, utajifunza kuhusu umuhimu wa kumtegemea Mungu, kuwa na imani na subira, kutafuta msaada wa watu wengine, kuwa na mtazamo chanya na kujikumbusha kwamba changamoto hizo sio za kudumu. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 16minPlay
FAQs about Ebenezer Revival International Ministry:How many episodes does Ebenezer Revival International Ministry have?The podcast currently has 47 episodes available.