Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Karibu katika Kanisa la Ebenezer Revival International Ministry na Nabii Analyce Ichwekeleza. Hosted on Acast. See acast.com/privacy... more
FAQs about Ebenezer Revival International Ministry:How many episodes does Ebenezer Revival International Ministry have?The podcast currently has 47 episodes available.
October 17, 2022Imba Wewe Tasa - Nabii Analyce IchwekelezaIsaya 54 : 1"Imba, wewe uliye tasa, wewe usiyezaa; paza sauti yako kwa kuimba, piga kelele, wewe usiyekuwa na utungu; maana watoto wake aliyeachwa ni wengi kuliko watoto wake yeye aliyeolewa, asema BWANA." Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 7minPlay
October 10, 2022Wewe Ni Kama Mti wa Haradali - Apostle Alex MbashaMarko 4 : 30 - 32Akawaambia tena, “Tuufananishe Ufalme wa Mungu na nini? Au tutumie mfano gani ili kuuelezea? Tunaweza kuufa nanisha na punje ya haradali, ambayo ni mbegu ndogo sana kuliko mbegu zote zinazopandwa ardhini.Lakini ikishaota, hukua ikawa mmea mkubwa kuliko yote katika bustani, ikawa na matawi makubwa hata ndege wa angani wakaweza kujenga viota kwenye kiv uli chake.”...more19minPlay
September 01, 2022Faida Za Kumtolea Mungu Sadaka - Nabii Anlayce IchwekelezaMalaki 3:10-12 - ''Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi. Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema BWANA wa majeshi.'' Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 15minPlay
August 27, 2022Kuvunja Laana Katika Maisha Yako - Nabii Analyce IchwekelezaKuna milango mingi ya laana kwa mtu lakini laana humpata mtu pale tu ikiwa na sababu (Mithali 26:2.) Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu (Mithali 3:33) Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 41minPlay
July 11, 2022Kupokea Sehemu Ya Roho au Roho Ile Ile Iliyo Ndani Ya Mtumishi Wa Mungu - Nabii Analyce Ichwekeleza2 Wafalme 2 : 1 - 18Elia akamwambia Elisha, “Niambie unalotaka nikufanyie kabla sijaondolewa kwako.” Elisha akamwambia, “Naomba sehemu maradufu ya roho yako.” Elia akajibu, “Ombi lako ni gumu, hata hivyo utakipokea kipawa changu hicho ikiwa utaniona wakati nitakapoondolewa kwako; lakini usiponiona, basi hutapewa.” Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more55minPlay
July 04, 2022Pokea Manasseh Wako - Nabii Analyce IchwekelezaManasseh ni muujiza mkubwa utakao kusaulisha shida zako. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more58minPlay
June 20, 2022Kuharibu Pembe Za Kichawi na Kiganga - Nabii Analyce IchwekelezaZaburi 75:10"Pembe zote za wasio haki nitazikata, Na pembe za mwenye haki zitainuka." Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more39minPlay
May 24, 2022Mungu Akupe Watu Wa Kukubariki - Nabii Analyce IchwekelezaYeremia 17:5 '' BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.'' Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more59minPlay
May 16, 2022Kuvunja Roho Ya Yonadab - Nabii Analyce IchwekelezaYeremiah 35 : 1 - 19 Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 22minPlay
FAQs about Ebenezer Revival International Ministry:How many episodes does Ebenezer Revival International Ministry have?The podcast currently has 47 episodes available.