Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Karibu katika Kanisa la Ebenezer Revival International Ministry na Nabii Analyce Ichwekeleza.... more
FAQs about Ebenezer Revival International Ministry:How many episodes does Ebenezer Revival International Ministry have?The podcast currently has 42 episodes available.
June 17, 2024Juni ni Mwezi Wa Habari Njema - Nabii Analyce IchwekelezaMwezi wa sita malaika Gabriel alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, kumpa habari njema Mariamu. Jiunge nasi katika neno hili na ujifunze jinsi Mungu anavyoleta habari njema katika maisha yetu kupitia vyanzo mbalimbali....more58minPlay
June 03, 2024Kupokea Sehemu ya Roho Aliyonayo Mtumishi wa Mungu - Nabii Analyse Ichwekeleza.2 Wafalme 2 : 1 - 18Elia akamwambia Elisha, “Niambie unalotaka nikufanyie kabla sijaondolewa kwako.” Elisha akamwambia, “Naomba sehemu maradufu ya roho yako.” Elia akajibu, “Ombi lako ni gumu, hata hivyo utakipokea kipawa changu hicho ikiwa utaniona wakati nitakapoondolewa kwako; lakini usiponiona, basi hutapewa.”...more1h 15minPlay
April 22, 2024Kukua Kiroho (Part 2) - Nabii Analyce IchwekelezaKwa maana sisi ni matokeo ya kazi ya Mungu tulioumbwa katika Kristo Yesu, ili tuwe na matendo mema ambayo Mungu alikwisha andaa, tuishi katika hayo. (Waefeso 2:10)...more1h 8minPlay
April 14, 2024Kukua Kiroho - Nabii Analyce IchwekelezaKama vile watoto wachanga wanavyotamani maziwa, nanyi pia mnapaswa kuwa na hamu ya maziwa halisi ya kiroho, ili kwa nguvu yake mpate kukua na kukombolewa. (1 Petro 2:2)...more57minPlay
April 07, 2024Kuteka Baraka Za Wazazi (PART 2) - Nabii Analyce IchwekelezaUkweli ni kwamba, wazazi ni watu wa muhimu sana kwako bila kujali hali zao za kiroho. Wana upekee fulani katika maisha yako. Kwa maana kupitia wao,wewe ulizaliwa. Upekee huu ni kuhusu “baraka” ambazo Mungu ameruhusu kuziweka kwa wazazi wako....more52minPlay
March 18, 2024Kuteka Baraka Za Wazazi - Nabii Analyce IchwekelezaWaheshimu baba na mama yako upate baraka ( Waefeso 6:2-3). Kuna mambo mengine unayopitia ni kwa sababu mioyo ya wazazi wako ( wa kiroho au wa kimwili) imefunga! Ujue kufanikiwa kwako kutakuwa ni kugumu sana. Maana kuna watu ambao waliondoka nyumbani kwa wazazi au walezi wao kwa mafarakano kisha hawajarudi mpaka wazazi wamekufa,au hawajarudi mpaka leo....more1h 21minPlay
February 26, 2024Uzia Lazima Afe Umuone Mungu - Nabii Analyce IchwekelezaIsaya 6 :1"Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha EnziKilicho juu Sana na kuinuliwa SanaKUNA WATU WANATAKIWA WAFE ILI UONE MAFANIKIO YAKO1.Yeyote alikufanya usione mafanikio katika biashara yako afe UONE2.Ikiwa Kuna mfalme Uzia katika Maisha YAKO afe umwone Bwana3.Nani anasimama kinyume na maombi yako afe ujibiwe...more1h 2minPlay
January 29, 2024Badilisha Mawazo Yako Ili Uishi Maisha Mazuri - Nabii Analyce Ichwekeleza"Na lo lote mtakaloomba katika sala, mtapewa, kama mna imani.”...more43minPlay
January 23, 2024Nakataa Kuonewa - Pastor MariettaKwa maana neema ya Mungu iletayo wokovu imedhihirishwa kwa watu wote. Neema hiyo inatufundisha kukataa uovu na tamaa za dhambi, tupate kuishi maisha ya kiasi, ya haki na ya kumcha Mungu, katika ulimwengu huu. Tito 2:11-12...more1h 7minPlay
January 16, 2024Kuondoa Chochote Kinachokunyima Mwendo - Pastor Frank"Wautia mwaka taji ya mavuno mengi; hata njia ngumu hufurika kwa wingi. Mashamba ya nyika yanakuwa malisho mazuri, na vilima kuchanua kwa furaha. Malisho yamepambwa kwa makundi ya kondoo, na mabonde yameezekwa nafaka. Wote wanapiga kelele na kuimba kwa furaha!"- Zaburi 65:11-13...more29minPlay
FAQs about Ebenezer Revival International Ministry:How many episodes does Ebenezer Revival International Ministry have?The podcast currently has 42 episodes available.