Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Karibu katika Kanisa la Ebenezer Revival International Ministry na Nabii Analyce Ichwekeleza. Hosted on Acast. See acast.com/privacy... more
FAQs about Ebenezer Revival International Ministry:How many episodes does Ebenezer Revival International Ministry have?The podcast currently has 47 episodes available.
May 03, 2022Matunda Ya Roho Mkristo Anatakiwa Kuzaa - Nabii Analyce IchwekelezaWagalatia 5 : 22 - 23 - Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi. Hakuna sheria inayopinga mambo kama haya. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 24minPlay
April 25, 2022Jinsi Ya Kuomba (Part B) - Nabii Analyce IchwekelezaMojawapo ya mambo yenye thamani zaidi tunaweza kumpa Mungu ni uangalifu wetu. Lakini kwa baadhi yetu, mchakato wa kuanzisha uhusiano ni mkubwa. Tunaondoa woga katika maombi na kukusaidia kukupa ujasiri wa kumkaribia muumba wako. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more23minPlay
April 14, 2022Jinsi Ya Kuomba (Part A) - Nabii Analyce IchwekelezaYesu alisema Roho Mtakatifu ni msaidizi wetu. Atatusaidia na kutufundisha yote, kwa maana pasipo yeye, sisi hatuwezi neno lolote. Na sisi peke yetu hatujui kuomba ipasavyo, bali yeye (Roho) ajua kutuombea kwa Mungu kama vile Mungu apendavyo. Hivyo kabla ya kuanza maombi au kusoma neno jifunze kujikabidhi kwa Roho Mtakatifu, uombe msaada wake, akupe ufanisi/ubora katika yote yakupasayo kufanya. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more55minPlay
April 11, 2022Mwanamke Mwema - Nabii Analyce IchwekelezaMwanamke mwema ni mwanamke ambaye huongoza nyumba yake kwa uadilifu, nidhamu, na kipaji. Mnawamke huyu ni kiongozi, si kwa sababu anajaribu kuwa, lakini kwa sababu yeye hujitambua. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 12minPlay
April 06, 2022Maombi Ya Kufunga Na Kuomba : Sababu Za Kufunga Na Kuomba (Part B) - Nabii Analyce IchwekelezaKufunga na kuomba kuna faida kubwa sana kwa kila aliyempokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake. Utakapoanza kufunga na kuomba utaona mafanikio makubwa sana kiroho .Sasa unatakiwa upitie hatua fulani ili upate muda mzuri wa kuzungumza na Mungu . Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 18minPlay
April 04, 2022Maombi Ya Kufunga Na Kuomba : Aina Ya Maombi (Part A) - Nabii Analyce IchwekelezaKama Mtumishi lazima ufunge na kuomba kila wiki ili ukuwe kiroho. Mambo au matatizo mengine hayataisha mpaka ufunge na kuomba. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 2minPlay
February 28, 2022Mbeba Maono na Ndoto Hafi - Nabii AnalyceUkiwa na maono makubwa, Mungu hataruhusu ufe bila kutimiza hayo maono. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more59minPlay
February 21, 2022Mungu Akubadilishe Kuwa Roho - Nabii Analyce IchwekelzaMungu ni roho na sisi tumeumbwa kwa mfano wake kwahiyo lazima nasi tue roho ili kushinda nguvu za giza. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 35minPlay
January 19, 2022Jenga Madhabau - Nabii Analyce Ichwekeleza. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more55minPlay
January 11, 2022Nguvu ya Upendo - Nabii Analyce IchwekelezaNguvu ya Upendo ni kubwa sana. Kama biblia ilivyoandikwa, “Ampendaye mwenzake, ameitimiza sheria.” Moja ya sifa za mtu mwenye upendo wa Agape ni kuwa upendo wa Mungu haushindwi wala hauna mwisho. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information....more1h 45minPlay
FAQs about Ebenezer Revival International Ministry:How many episodes does Ebenezer Revival International Ministry have?The podcast currently has 47 episodes available.