Gurudumu la Uchumi

Gurudumu la Uchumi

By RFI KiswahiliBusiness
Download on the App Store

Gurudumu la Uchumi episodes

  • Fursa ya Kilimo Biashara
    Makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili inaangazia namna bora ya kufanya kilimo chenye tija ambacho kitamsaidia mkulima na nchi za Afrika Mashariki kiuchumi.
    11 min
  • Kutokana na kukua kwa utandawazi, vijana kujengewa uwezo kutumia teknolojia
    Katika makala ya Gurudumu la Uchumi, juma hili tunaangazia namna vijana wanaweza kujengewa uwezo kupitia vipaji walivyonavyo, kupewa ujuzi na stadi za maisha kupitia teknolojia ili kujikwamua kiuchumi.
    Leo tumezungumza na vijana kutoka kituo cha mafunzo ya stadi za kazi kinachofahamika kama "TUNAPANDA" kilichoko Kibera, jijini Nairobi nchini Kenya.
    10 min
  • Vijana katika kipindi cha Corona na changamoto za kisaikolojia
    Msikilizaji idadi ya vijana barani Afrika inaendelea kuongezeka kwa kasi nah ii ni kwa mujibu wa shirika la umoja wa Mataifa la Uchumi na maendeleo ya Jamii, Mfano mwaka 2015 kulikuwa na vijana milioni 226 walio kati ya umri wa miaka 15-24, na inakadiriwa kuwa ifikapo 2030 vijana wataongezeka kwa asilimia 42 na wanatarajiwa kuongezeka mara mbili zaidi ifikapo mwaka 2050.
    Mtayarishaji wa makala haya, amezungumza na Naamala Samson, mhamasishaji vijana, na Macquiline Francis, mwanasaikolojia.
    11 min
  • Kenya na mkopo mpya kutoka shirika la fedha diniani IMF
    Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia hatua ya nchi ya Kenya kwenda kuomba mkopo zaidi kutoka shirika la fedha duniani IMF. Hatua ambayo imesababisha wananchi kuhoji kuhusu nchi yao kuendelea kukopa.
    Mtayarishaji wa makala haya amezungumza na Bennedict Mahona, mtaalamu wa masuala ya uchumi na fedha akiwa Dar es Salaam, Tanzania.
    10 min
  • Tanzania na Afrika itamkumbuka vipi Magufuli
    Ametajwa na viongozi wenzake wengi kama mwanamajumuhi wa Afrika, Kutokana na utendaji wake na namna alivyokuwa mstari wa mbele kupigania maslahi ya nchi na raia wake licha ya ukosolewaji.
    Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili inamuangazia aliyekuwa rais wa Tanzania, hayati John Pombe Magufuli ambaye alifariki tarehe 17 ya mwezi huu akipatiwa matibabu jijini Dar es Salaam Tanzania.
    Mtangazaji amezungumza na Profesa Wetengere Kitojo, akiwa jijini Dar es Salaam, Tanzania.
    10 min
  • Biashara isiwe chanzo kuvunjika kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki
    Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili, inajadili mzozo ama mvutano wa kibiashara baina ya nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki, hasa baada ya nchi ya Kenya kupiga marufuku uingizwaji wa mahindi kutoka Tanzania na Uganda, hatua ambayo wataalamu wa Uchumi wanasema ni ya kibiashara zaidi kuliko uhalisia kuwa mahindi kutoka kwenye nchi hizo yana sumu.
    Mtayarishaji wa makala haya Emmanuel Makundi, amezungumza na Dr Bravious Kayoza, mtaalamu wa masuala ya uchumi akiwa Dar es Salaam, Tanzania.
    10 min

About Gurudumu la Uchumi

From the publisher's feed

Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika.…

More shows like Gurudumu la Uchumi

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

1 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mjadala wa Wiki by RFI Kiswahili

Mjadala wa Wiki

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners