Gurudumu la Uchumi

Gurudumu la Uchumi

By RFI KiswahiliBusiness
Download on the App Store

Gurudumu la Uchumi episodes

  • Sekta ya utalii yaanza kuimarika tena Tanzania
    Msikilizaji tangu mwaka 2020, wakati ugonjwa wa Virusi vya Korona uliripotiwa kwa mara ya kwanza kwenye nchi za Afrika Mashariki, sekta ya utalii ilikuwa muhanga mkubwa wa athari zilizotokana na hatua ya mataifa mbalimbali duniani, kufunga mipaka yake ambapo idadi ya watalii kwenye nchi hizo ilipungua maradufu na kuathiri kwa sehemu ukuaji wa uchumi wa mataifa hayo ambayo mengi yalikuwa yanategemea sekta hii.
    10 min
  • Hali ya kilimo barani Afrika na changamoto zake
    Makala ya Gurudumu la Uchumi wiki hii, inakuletea kipindi maalumu kilichorekodiwa wakati wa mkutano wa kimataifa wa kilimo barani Afrika, uliofanyika jijini Kigali, Rwanda, takribani mwezi mmoja uliopita, tunaangazia changamoto na namna ya kukifanya kilimo cha Afrika kuwa bora na kuwa na usalama wa chakula.
    11 min
  • Tanzania: Benki ya CRDB yatiliana saini na shirika la kifedha la Ufaransa PROPARCO
    Msikilizaji ripoti mbalimbali za kiuchumi za benki ya dunia zinaonesha kuwa, raia wengi katika nchi zinazoendelea, hawana fursa zakutosha kupata mikopo nafuu kuwezesha shughului zao, Katika kukabiliana na shida hii, shirika la kifedha la Ufaransa, Proparco limetiliana saini mkataba wa ushirikiano na benki ya kibiashara ya nchini Tanzania CRDB, ili kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa wafanyabiashara wadogo na wakati.
    11 min
  • Mkutani wa miji mikubwa barani Afrika, Kisumu, Kenya
    Makala ya Gurudumu la Uchumi, wiki hii inaangazia mkutano wa kimataifa wa Africities, unaojadili kuhusu maendeleo ya miji barani Afrika, mkutano unaofanyika kwenye mji wa Kisumu nchini Kenya, mwenzangu Victor Abuso alipiga kambi huko na kutuandalia sehemu ya mahojiano katika makala yetu.
    10 min
  • Biashara na watu wanaoishi na ulemavu mpakani mwa DRC na Rwanda
    Makala ya Gurudumu la Uchumi wiki hii inaangazia namna watu wenye ulemavu kwenye mpaka wa nchi ya DRC na Rwanda wanavyofanya biashara, hasa wakati huu mipaka ya nchi hizo ikiwa imefunguliwa pamoja na nchi ya DRC kuwa mwanachama mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
    Mwandishi wetu wa Kigali, Christopher Karenzi, ameshirikiana na Emmanuel Makundi.
    11 min
  • Kinachotarajiwa baada ya nchi ya DRC kuwa mwanachama mpya wa EAC
    Makala ya Gurudulu la Uchumi, juma hili inaangazia hatua na matarajio ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, hasa baada ya nchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kuingizwa rasmi kama mwanachama mpya wa 7 wa Jumuiya hiyo, nini matarajio ya nchi wanachama na raia? Hili ndilo mtayarishaji anaenda kulitazama hivi leo.
    10 min

About Gurudumu la Uchumi

From the publisher's feed

Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika.…

More shows like Gurudumu la Uchumi

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

1 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mjadala wa Wiki by RFI Kiswahili

Mjadala wa Wiki

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners

Jukwaa la Michezo by RFI Kiswahili

Jukwaa la Michezo

0 Listeners