Jua Haki Zako

Jua Haki Zako

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Jua Haki Zako episodes

  • Haki za binadamu nchini Uganda ni tete
    Mashariki mengi ya kutetea haki za binadamu nchini Uganda yanatuhumu utawala wa taifa hilo, kwa kuendelea kukandamiza haki za binadamu.
    Katika makala haya mwanaharakati Hashim Awadi kutoka Uganda, anasimulia hali ya halk za binadamu nchini Uganda.
    10 min
  • UNHCR/NRC: Njaa yatafuna raia wa Somalia
    Ripoti iliotolewa kwa ushirikiano wa masharika ya UNHCR na NRC, yaani Norwegian Refugee Council imesema hali ya ukame nchini Somalia inazidi kuwa mbaya zaidi na kuwazimisha raia wengi kukimbi makwao kuenda mijini kutafuta chakula, wale wanaosalia vijijini wakiwa katika hatari ya kufariki.
    Skiza makala haya kwa mengi zaidi.
    10 min
  • Kenya : Haki ya kupiga kura kuwachagua viongozi
    Taifa la Kenya linashiriki uchaguzi mkuuu wito ukitolewa kile pembe ya taifa hilo na raia kujitokeza kwa wingi kushiriki jukumu lao la kikatiba na pia haki yao ya kuwachagua viongozi
    Katika katika Makala haya utaskia kutoka kwa Jame Ciera, kutoka sharia la Twaweza East Africa, Hellen Mudora kutota Urai Trust na Amina Mohamed kutoka tume ya uchaguzi nchini Kenya, IEBC, wote hao wakiwa mstari wa mbele kuhamasisha wakenya kushiriki uchaguzi wa mkuu kwa kuwachagua viongozi.
    10 min
  • Kenya : Haki za kina mama kwa jamii
    Shirika la Minority Right Group,  kwa kiasi kikubwa linahamasisha amani miongoni mwa jamii mbalimbali katika mataifa ya Kenya, Uganda na Cameroon, likiandaa kongamano lake la tatu nchini Kenya, kipindi hiki cha Uchaguzi kuhamasisha amani.
    Ni katika mkutanohuu  ndipo Grace Lolim, kutoka kaunti ya Isiolo, nchini Kenya, alizungumza na mwandishi wetu Benson Wakoli, kuhusu changamoto wanazopitaia wanake hasa kipindi cha uchaguzi nchini Kenya.
    10 min

About Jua Haki Zako

From the publisher's feed

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala…

More shows like Jua Haki Zako

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

1 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mjadala wa Wiki by RFI Kiswahili

Mjadala wa Wiki

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

1 Listeners