Jua Haki Zako

Jua Haki Zako

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Jua Haki Zako episodes

  • Tuzo za Marianne zamtambua Rhobi Samwelly kutoka Tanzania
    Tuzo za Marianne zilianzishwa na serikali ya rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron , kuwatambua wale wanapigania haki za binadamu hasa wanawake.
    Katika makala haya utaskia kutoka kwa Rhobi Samwelly, ambaye ni mmoja wa washindi wa tuzo hii na balozi wa mpango huu wa Marianne.
    10 min
  • Women Deliver na haki za wanawake na wasichana
    Wanawake na wasichana ni miongoni mwa watu ambao haki zao zimetajwa kukiukwa pakubwa, ni kutokana na sababu hizi ndio maana mashirika kama vile women Deliver yamejitokeza kupigania haki za wanawake na wasichana kote duniani .
    Wanachama wa Women Deliver, Kathleen Sherwin ambaye ni mwanachama wa bodi ya shirika la Women Deliver na  Samason Desvae ambaye ni mwenyekiti mwenza wa mkutano wa Women Deliver ataofanyika nchini Rwanda mwaka 2023, wanazungumzia haki za wanawake katika makala haya.
    10 min
  • Uhuru wa kutoa maoni miongoni mwa mataifa ya Jumuiya ya Madola
    Uhuru wa kujieleza ni moja kati ya haki za kimsingi amboa umetambuliwa na umoja wa mataifa na baadhi ya nchi ambazo zimekomaa kidemokrasia zimeruhusu raia wake kutoa maoni yao na hata kukosoa utendakazi wa serikali.
    lakini kwa badhi ya taifa hilo  ni kama ndoto serikali zikiziba wakosowaji wake na hata kuwakamata.
     Tunaangazia uhuru wa raia wa mataifa ya kujumuiya ya madolo kujieleza , ambapo pembezoni mwa mkutano wa 25 wa mataifa ya jumuiya Madola uliofanyika nchini Rwanda, Emmanuel Makundi alipata nafasi ya kuzungumza na Amiri Kaharani, ambaye ni naibu rais wa baraza la jumuiya ya madola inayoshughulikia Wayahudi.
    10 min

About Jua Haki Zako

From the publisher's feed

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala…

More shows like Jua Haki Zako

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

1 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mjadala wa Wiki by RFI Kiswahili

Mjadala wa Wiki

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

1 Listeners