Jua Haki Zako

Jua Haki Zako

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Jua Haki Zako episodes

  • Haki za wanawake katika nyadhifa za uongozi Afrika Mashariki
    Kwenye makala haya tunajikita kwenye haki za wanawake kuwania au kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali za uongozi katika bara la Africa hasa Africa Mashariki.
    Mwenyekiti wa chama cha mawili wanawake nchini Kenya, FIDA, Nacy Ikinu, Mbunge Milly Odhiambo kutoka Kenya,  na Lucy Githaika ambaye ni mkurungezi wa shirika la kutetea wanawake la Diakonia, wanashiriki mahakala haya.
    10 min
  • Haki za raia wanaokimbia Afghanistan
    Katika makala haya Benson wakoli anazungumza  na wakili Ojwang Agina, anayetoa mtazamo wa kisheria kuhusu  haki za raia wanaokimbia Afghanistan na mwanahistoria , Lugete Mussa Lugete,  ataeleza ni vipi taifa la Afghanistan limejipata kwenye nafasi ya sasa.
    10 min
  • Watoto kupotea wakati wa vita au uvamizi
    Visa vya uvamizi au vita vya kikabila vimechangia sana, watoto kupoteleana na familia zao, baadhi ya mashariki yakilazimika kuchukua hatua ya kupatanisha watoto waliopotea na familia zao.
    katika makala haya bado Benson wakoli anazungumza na Jeffa Jenga Mbungwa, mkurugezi mkuu wa shirika la Grass root Epowerement and development organization, linaloendesha shughuli zake nchini Sudan Kusini
    10 min
  • Usajili wa watoto kwa makundi ya waasi
    Taifa la Sudan Kusini limeshutumiwa na umoja wa mataifa kwa kukiuka haki mbalimbali za binadamu moja wepo ikiwa kuwasajili watoto kuwa wanajeshi.
    Katika makala haya  Jeffa mbugwa Njenga,  ni mkurugezi mkuu wa shirika lisilokuwa la kiserekali la Grass Root empowerement and deveopment organization, ambalo linajishuhulisha na shughuli mbali mbali za kusaidia  raia sudan Kusini, kuu likiwa kuwasadia watoto ambao husajiliwa kwa jeshi na baadaye kurejea kwa jamii
    10 min
  • Idadi kubwa ya wakenya hawafahamu nia ya serikali kutaka kufanyia katiba marekebisho
    katika Makala haya tunajikita  nchini Kenya ambapo mchakato mzima wa kufanyia katiba marekebisho umekwama kutokana na hatua ya mahakama kuu nchini humo kusimamisha mchakato huo  kwa msingi kuwa wanzilishi wa mchakato huo rais Uhuru Kenyatta, na kingozi wa upinzani Raila Odinga, hakufuata sheria wakati wakianzisha mchakato huo.
    Benson Wakoli amelizamia swala hili katika makala haya
    10 min
  • Siku ya mtoto wa Kiafrica ina maana gani?
    Tarehe 16 ya mwezi Juni kila mwaka Bara la Afrika linaadhimisha siku ya mtoto wa Afrika, lengo likiwa ni kuikumbusha jamii na mataifa ya Afrika kuhusu umuhimu wa kulinda na kutetea haki za watoto.
     Mkataba wa haki  za watoto kwa mara ya kwanza uliridhiwa na uliokuwa umoja wa Afrika OAU Julai 11 mwaka 1990 na kuanza kutekelezwa tarehe 29 November mwaka 1999, baada ya miaka 25 toka mkataba huo kuridhiwa ambapo nchi 47 za Afrika zilitia saini mkataba huu.
    11 min
  • Africa imetambua kuwa iko huru?
    Katika makala haya tunajadili iwapo bara la Africa, limetambua umuhimu kuwa  huru, na iwapo bado mataifa ya magharibi yana ushawishi kwa siasa kwa mataifa Africa, na uchumi wake.
    Benson wakoli amezungumza na mwanahistoria Lugete Mussa Lugete.
    10 min

About Jua Haki Zako

From the publisher's feed

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala…

More shows like Jua Haki Zako

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

1 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mjadala wa Wiki by RFI Kiswahili

Mjadala wa Wiki

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

1 Listeners