Jua Haki Zako

Jua Haki Zako

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Jua Haki Zako episodes

  • Uraia wa watoto wakimbizi ni upi?
    Hakuna taifa  lina uwezo wa kuwarejesha wakimbizi katika mataifa yao bila ya hiari yao, sheria za kimataifa zinawalinda wakimbizi, anavyoeleza wakili Ojwang Agina, katika makala haya.
    10 min
  • Je wakimbizi wa haki? skiza makala haya
    Shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNHCR, limeeleza kuguswa na visa vya  mamlaka nchini Tanzania, kuwazuia wakimbizi na watafuta hifadhi wanaokimbia mashambulizi ya wanajihadi eneo la Cabo Delgado nchini Musumbiji kuingia nchini Tanzania.
    Kwa mjibu wa UNHCR ni kwamba wakimbizi 1,500 walazimika kurejea katika eneo la mapigano hali ambayo imetajwa kuwa ya kusikitisha sana.
    Katika makala haya nitazungumza na wakili Ojwang Agina kutoka nchini Kenya mbaye anafafanua kuhusiana na haki za wakimbizi.
    10 min
  • Hukumu ya kifo bado inatekelezwa na mataifa kadhaa
    Katika Makala ya Jua Haki Zao, juma hili tunaangazia hukumu ya kifo ambayo bado mataifa mengi duniani yanatelekeza hukumu hiyo, hapa tunajadili umuhimu wa maisha kwa mjibu wa maandiko matakatifu na sheria za kimataifa kuhusu hukumu hii ya kifo.
    Tangu mapema miaka ya 60, wanaharakati katika mataifa mbali tayari walikuwa wameanza harakati za kushinikiza kuondolewa kwa hukumu ya Kifo, wengi wakidai hukumu hiyo inakiuka haki ya kimsingi ya binadamu kuishi.
    10 min
  • Juhudi za madaktari na wanaharakati kukomesha ukeketaji
    Kwa mjibu wa shirika la umoja wa mataifa UN, msichana au mwanake moja kati ya 4 huwa amekeketwa kwa kutumia za njia za kiasili au hata wengine hukeketwa na watalaam wa afya wasiozingatia maadili.
    Madaktari na wanaharakati wanasisitiza katika makala haya ya juhudi zaidi kufanywa ili kukomesha ukeketaji, ambao bado baadhi ya jamii za kiafrica zinaendeleza, licha ya madhara yake kwa wanawake na wasichana
    10 min
  • Ukeketaji bado unafanyika barani Afrika
    Katika makala haya tunadali swala ukeketeji wa wanawake barani afrika, ambalo kwa mjibu wa shirika la afya dunia WHO, mataifa 29 katika bara hili bado ya wanakeketa wanawake licha ya hamishisho ambazo zimefanywa kwa jamii kuachana na mila hiyo ambayo imepitwa na wakati na mbayo ina mathara mengi ya kiafya kwa wanawake.
    10 min
  • Jua Haki Zako - Mahojiano na Peter Solomon anayepinga kufungwa kambi za wakimbizi Kenya
    Serikali ya Kenya ilitoa makataa kwa shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNCHR ,kufunga kambi za wakimbizi ya Daadab na Kakuma kwa kohofu makali ya Corona na swala la usalama.Hata hivyo mashirika ya kiraia yalifika mahakamani kupinga hatua huyo. Peter Solomon ni mmoja wa wakenya waliofika mahakamani.
    Mwandishi wetu Benson Wakoli amefanya mahojiano naye,kufahamu ni kwa nini anapinga kufungwa kwa kambi hizo.
    10 min

About Jua Haki Zako

From the publisher's feed

Jua Haki Zako ni makala yanayokuelimisha juu ya umuhimu wa kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii, mataifa na dunia kwa ujumla. Jua Haki Zako itakuelimisha juu ya masuala…

More shows like Jua Haki Zako

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Habari RFI-Ki by RFI Kiswahili

Habari RFI-Ki

1 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mjadala wa Wiki by RFI Kiswahili

Mjadala wa Wiki

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

1 Listeners