Jukwaa la Michezo

Jukwaa la Michezo

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Jukwaa la Michezo episodes

  • Timu zitakazocheza fainali ya CHAN 2018 zafahamika
    Mataifa yaliyofuzu katika michuano ya bara Afrika ya CHAN, kwa wachezaji wanaocheza soka nyumbani yamefahamika.
    Ukanda wa Afrika Mashariki unawakilishwa na wenyeji Kenya, Uganda, Sudan lakini mabingwa watetezi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo waliondolewa na jirani zao Congo Brazzaville.
    26 min
  • Marekani na Kenya yatawala mashindano ya riadha ya dunia
    Marekani na Kenya, zimetawala mashindano ya riadha ya dunia yaliyomalizika leo jijini London nchini Uingereza. Pamoja na hilo tunajadili michuano ya kufuzu kwa michuano ya soka ya CHAN, itakayofanyika mwaka ujao nchini Kenya. Tanzania nayo, pia imempata rais mpya wa Shirikisho la soka.
    23 min
  • Micho asitisha mkataba wake na Uganda Cranes
    Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Uganda, Mserbia Milutin “Micho” Sredojevic amesitisha mkataba wa kuendelea kuifunza Uganda. Hatua hii imekuja baada ya kutoelewana na viongozi wa Shirikisho la soka nchini humo FUFA kuhusu masuala mbalimbali.
    Tunajadili.
    26 min
  • Mashindano ya riadha ya dunia kwa vijana yamalizika nchini Kenya
    Kenya imefanikiwa kuandaa mashindano ya dunia ya riadha kwa vijana wasiozidi miaka 18.
    Mashindano haya yamekuwa yakifanyika kwa muda wa siku tano zilizopita katika uwanja wa Kimataifa wa Moi Kasarani jijini Nairobi. Afrika Kusini ilimaliza ya kwanza kwa medali 11, ikifutawa na China pia kwa medali 11. Cuba ilimaliza ya tatu huku Kenya ikimaliza ya nne kwa medali nyingi ambazo ni 15 lakini ikapata medali 4 ya dhahabu.
    Tunachambua mashindano haya.
    24 min
  • Zimbabwe yashinda taji la COSAFA mwaka 2017
    Timu ya taifa ya soka ya Zimbabwe, imeshinda taji la COSAFA miongoni mwa mataifa ya Kusini mwa bara la Afrika. The Warriors iliifunga Zambia mabao 3-1 katika mashindano yaliyomalizika jioni hii nchini Afrika Kusini.
    25 min
  • Michuano ya COSAFA yaanza nchini Afrika Kusini
    Michuano ya mwaka huu ya COASAFA imeanza kutifua vumbi nchini Afrika Kusini. Mataifa 14 kutoka ukanda wa Kusini mwa Afrika yanashiriki, ikiwemo Tanzania ambayo imealikwa. Tunajadili hili na mengine yanayotokea mwishoni mwa wiki hii.
    27 min
  • Michuano ya dunia ya soka baina ya mabara yaanza nchini Urusi
    Miongoni mwa mambo tunayoangazia Jumapili hii katika Makala ya Jukwaa la Michezo  ni pamoja na kuanza kwa michuano ya kombe la dunia ya mabara nchini Urusi, kauli ya Katibu Mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye kuhusu mataifa yanayoharibu soka katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na kujiuzulu kwa  kocha wa Gor Mahia nchini Kenya bila kusahau  ziara ya wajumbe wa CAF kuthathmini utayari wa Kenya kuandaa michuano ya CHAN mwaka 2018.
    25 min

About Jukwaa la Michezo

From the publisher's feed

Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano…

More shows like Jukwaa la Michezo

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mjadala wa Wiki by RFI Kiswahili

Mjadala wa Wiki

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

1 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners