Jukwaa la Michezo

Jukwaa la Michezo

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Jukwaa la Michezo episodes

  • Michuano ya CHAN yaanza Morocco
    Michuano ya mataifa bingwa barani Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka nyumbani, imeanza nchini Morocco. Wenyeji wameanza vema kwa kuwashinda Mauritania mabao 4-0. Uganda, Rwanda na Sudan yanawasilisha mataifa ya Afrika Mashariki.
    24 min
  • Upinzani walalamikia kusumbuliwa Burundi
    Serikali ya Burundi, inaendelea na mchakato wa kuibadilisha Katiba ili kuruhusu mgombea urais kuongoza kwa muda wa miaka saba badala ya mitano. Upinzani unalalamika kuwa, wanasiasa na wanaharakati wake wanakamatwa na kuzuiwa wanapojaribu kuwashawishi wananchi kukataa mchakato huo. Tunachambua hili.
    16 min
  • Taji la Shirikisho nchini Tanzania
    Mabingwa watetezi wa taji la Shirikisho katika mchezo wa soka nchini Tanzania, Simba FC wameondolewa katika mashindano hayo na pamoja na klabu nyingine ya Azam FC. Matokeo haya yamesababisha uongozi wa Simba, kumfuta kazi kocha Joseph Omog raia wa Cameroon.
    25 min
  • Soka la vijana nchini Tanzania
    Soka la vijana lina nafasi kubwa katika kuinua maendeleo ya mchezo huo nchini Tanzania. Kituo cha Mandozi Sports Academy kilichopo Kirumba Mkoani Mwanza, Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo kimejikita kukuza vipaji hasa kwa vijana chipukizi.
    Mwandalizi wa makala haya ni Fredrick Nwaka.
    25 min
  • FIFA yatangaza droo ya michuano ya kombe la dunia
    Shirikisho la soka duniani FIFA, limetangaza droo ya michuano ya kombe la dunia nchini Urusi 2018.
    Hii ndio droo kamili:-
    Kundi  A: Urusi (Wenyeji), Saudi Arabia, Misri, Uruguay.
    Kundi B: Ureno, Uhispania, Morocco, Iran.
    Kundi C: Ufaransa, Australia, Peru, Denmark.
    Kundi  D: Argentina, Iceland, Croatia, Nigeria.
    Kundi  E: Brazil, Switzerland, Costa Rica, Serbia.
    Kundi F: Ujerumani, Mexico, Sweden, Korea Kusini.
    Kundi G: Ubelgiji, Panama, Tunisia, Uingereza.
    Kundi H: Poland, Senegal, Colombia, Japan.
    26 min
  • TP Mazembe yashinda taji la Shirikisho barani Afrika
    TP Mazembe imefanikiwa kushinda tena taji la Shirikisho barani Afrika, baada ya kuishinda SuperSport United ya Afrika Kusini kwa jumla ya mabao 2-1 baada ya fainali mbili kutafuta taji hilo.Fainali ya pili, Mazembe haikufungana na wapinzani wao Supersport United ya Afrika Kusini.
    Tunachambua ushindi huu
    25 min

About Jukwaa la Michezo

From the publisher's feed

Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano…

More shows like Jukwaa la Michezo

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mjadala wa Wiki by RFI Kiswahili

Mjadala wa Wiki

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

1 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners