Jukwaa la Michezo

Jukwaa la Michezo

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Jukwaa la Michezo episodes

  • Hugo Broos:Viongozi wa soka wawe na uvumilivu kwa makocha
    Kocha Mkuu wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon Hugo Broos amewataka viongozi wa soka barani Afrika kuwa wavumilivu kwa makocha ikiwa wanalenga kukuza mchezo huo.
    Aidha kocha huyo aliyeiwezesha Cameroon kutwaa taji la Afrika mapema mwaka jana nchini Gabon amesisitiza umuhimu wa kuwa na miundombinu thabiti ya mchezo wa soka ikiwemo viwanja.
    21 min
  • Klabu za Afrika Mashariki zaondolewa kwenye michuano ya klabu bingwa na Shirikisho
    Klabu za Afrika Mashariki kwa mara nyingine, zimeondolea katika michuano ya klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika. Kwanini mambo yanaendelea kuwa hivi ? Klabu zilizofuzu katika hatua ya makundi ni pamoja na:
    KCCA (Uganda), Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini), Difaa El Jadidi (Morocco), Zesco (Zambia), AS Togo (Togo), Etoile du Sahel (Tunisia), Esperance (Tunisia), ES Setif (Algeria), Primeiro de Agosto (Angola), TP Mazembe (DRC), Township Rollers (Botswana), Horoya (Guinea), MC Alger (Algeria), Al Ahly (Misri), Wydad (Morocco) na Mbabane Swallows (Swaziland).
    24 min
  • FIFA inaweza kusaidia vipi soka Tanzania ?
    Rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA, Gianni Infantino aliongoza mkutano wa FIFA nchini Tanzania kuhusu namna ya kuimarishwa kwa soka la wanawake na vijana. Je, mkutano huu unaweza kusaidia kwa namna yeyote ile kusaidia kuimarisha soka nchini Tanzania ?
    24 min
  • Uganda yafanya vibaya katika mashindano ya CHAN
    Uganda kwa mara nyingine, imefanya vibaya katika mashindano ya CHAN inayoendelea nchini Morocco. Aliyewahi kuwa Naibu kocha wa timu ya taifa ya Uganda Cranes Jackson Mayanja amesema, Shirikisho la soka nchini lilifanya kosa kwa kumpa kocha mpya kikosi hicho wiki moja kuelekea michuano hii.
    25 min
  • Rwanda na Sudan wanaweza kufika fainali ya CHAN 2018
    Michuano ya CHAN inaendelea nchini Morocco, Uganda Cranes tayari imeshaondolewa katika michuano hiyo lakini nafasi bado ipo kwa Rwanda na Sudan. Je, mataifa haya yanaweza kufanikiwa ? Tunajadili hili na mengine mengi yanayotokea viwanjani Jumapili hii barani Afrika na kwingineko duniani.
    24 min

About Jukwaa la Michezo

From the publisher's feed

Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano…

More shows like Jukwaa la Michezo

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mjadala wa Wiki by RFI Kiswahili

Mjadala wa Wiki

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

1 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners