Jukwaa la Michezo

Jukwaa la Michezo

By RFI Kiswahili
Download on the App Store

Jukwaa la Michezo episodes

  • Rushwa na ukosefu wa maadili unavyosumbua waamuzi wa Afrika
    Shirikisho la kandanda duniani Fifa limemwondoa mwamuzi Msaidizi Aden Marwa aliyepaswa kuchezesha fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi, baada ya kutuhumiwa kupokea rushwa.
    Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Ali Saleh akiwa Dodoma, Tanzania na Boniface Osano akiwa Nakuru nchini Kenya kuangazia namna suala la rushwa na ukosefu wa maadili kwa ujumla linavyotikisa mchezo wa kandanda barani Afrika na na kuwanyima waamuzi fursa ya kuchezesha michuano mikubwa ya kandanda duniani.
    25 min
  • Mtibwa Sugar itahimili vishindo vya michuano ya klabu Afrika?
    Klabu ya Mtibwa Sugar ya Tanzania imerejea kwenye michuano ya kimataifa baada ya kuishinda Singida United katika fainali ya taji la Shirikisho Tanzania (ASFC). Je klabu hii yenye maskani yake Mkoani Morogoro itahimili ushindani katika michuano ya klabu Afrika? Fredrick Nwaka aliungana na wachambuzi wa soka Gift macha na Samuel John kutathimini kwa kina
    22 min
  • Shirikisho la soka Misri lasema Mohammed Salah atashiriki fainali za Kombe la Dunia
    Katika makala ya Jukwaa la Michezo Jumapili ya Mei 27 Fredrick Nwaka alingana na w achambuzi wa michezo Aloyce Mchunga na Ally Saleh Alberto kuangazia kuhusu hatima ya mshambuliaji Mohammed Salah kucheza fainali za kombe la dunia baada ya kuumia wakati akiitumikia klabu yake ya Liverpool, pia hatua ya Liberia kusema haitaiunga mkono Morocco katika harakati za kuwania kuandaa fainali za kombe la dunia mwaka 2026 na nchini Afrika Kusini Danny Jordan achaguliwa tena kuwa rais  wa chama cha Soka licha ya kukabiliwa na tuhuma za unyanyasaji wa kingono.
    21 min
  • Burundi yaanda mashindano ya Judo kwa vijana barani Afrika
    Klabu ya soka nchini Kenya, Gor Mahia inachuana na Hull City ya Uingereza katika mchuano wa Kimataifa wa kirafiki jijini Nairobi. Michuano ya vijana wasiozidi miaka 20, kufuzu kucheza fainali ya Afrika mwaka 2019 inaendelea na mashindano ya vijana ya mchezo wa Judo yanamalizika jijini Bujumbura Burundi. Tunangaazia haya katika makala yetu Jumapili hii.
    25 min
  • CAF yatangaza droo ya hatua ya makundi kuwania taji la Shirikisho
    Juma hili tunaangazia droo ya hatua ya makundi kuwania taji la Shirikisho barani Afrika baina ya vlabu , masaibu ya rais wa Shirikisho la soka nchini DRC Constatine Omari, Michuano ya CECAFA kwa vijana wasiozidi miaka 17 inayoendelea nchini Burundi, na tangazo la kocha wa muda wa mrefu wa Arsenal Mfaransa Arsene Wenger ambaye ataondoka mwisho wa msimu huu.
    24 min
  • Kenya yafanya vibaya Michezo ya Jumuiya ya Madola
    Wanariadha wa Kenya wamefanya vibaya katika Michezo ya Jumuiya ya Madola iliyomaliza leo nchini Australia, baada ya kupoteza medali ya dhahabu katika mbio za ndefu Mita 10,000 , 5,000 na ile ya Marathon. Tunajadili pia michuano ya soka kuwania taji la Shirikisho kwa vlabu barani Afrika.
    24 min

About Jukwaa la Michezo

From the publisher's feed

Makala haya yanaangazia maendeleo ya michezo mbalimbali Ulimwenguni na pia huwa haiwaweki kando wanamichezo waliobobea na vilevile kufanya uchanganuzi wa kina wa michezo wakati wa mashindano…

More shows like Jukwaa la Michezo

Muziki Ijumaa by RFI Kiswahili

Muziki Ijumaa

2 Listeners

Gurudumu la Uchumi by RFI Kiswahili

Gurudumu la Uchumi

0 Listeners

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii by RFI Kiswahili

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

0 Listeners

Nyumba ya Sanaa by RFI Kiswahili

Nyumba ya Sanaa

0 Listeners

Mjadala wa Wiki by RFI Kiswahili

Mjadala wa Wiki

0 Listeners

Wimbi la Siasa by RFI Kiswahili

Wimbi la Siasa

0 Listeners

Afrika Ya Mashariki by RFI Kiswahili

Afrika Ya Mashariki

0 Listeners

Changu Chako, Chako Changu by RFI Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

1 Listeners

Jua Haki Zako by RFI Kiswahili

Jua Haki Zako

0 Listeners