Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Mzalendo.net:How many episodes does Mzalendo.net have?The podcast currently has 10 episodes available.
December 13, 2014Effective Communication for Effective LeadershipKozi yetu ya Effective Leadership imeanza rasmi kupitia Redio Mzalendo na hapa kwenye ukurasa wa Facebook. Somo la leo ni Effective Communication for Effective Leadership. Ungana nasi moja kwa moja kupitia Mzalendo Radio na pia hapa kufuatilia mjadala. Farrell Jnr Foum, Salma Said #teamzanzibar Hili ni mafunzo kwa kila mtu kuwa huru kushiriki...more2h 5minPlay
January 06, 2014Sauti:Bwana Abdi Omar Maalim-Mkurugenzi wa Usafiri BahariniBwana Abdi Omar Maalim kuhusiana na Meli ya Kilimanjaro 2 iliyopata khitilafu jana na kupoteza watu kadhaa ambapo watano wakipatikana wamefariki, watatu wakiwa hai na zaidi ya 20 kuendelea kutafutwa. Sauti kwa hisani ya Salma Said:...more15minPlay
January 21, 2013WAASISI WA MUUNGANO WATOA MAONI YAOWANASIASA wakongwe waliokuwa katika serikali wakati wa kuundwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Salum Rashid na Nassor Hassan Moyo wamesema baraza la Mapinduzi halikushauriwa wala halikushirikishwa katika kuundwa kwa Muungano huo....more6minPlay
January 21, 2013Sauti:Mzee Moyo, Salum Rashid watoa maoni – KatibaSalma Said, Mzee Moyo:...more5minPlay
December 31, 2012Matukio ya Mwaka 2012 Kwa ZanzibarMwana habari Salma Said na Matukio muhimu yaliotokea mwaka wa 2012...more11minPlay
November 19, 2012SERIKALI YATOA RIPOTI JUU YA KUZAMA KWA M.V SKAGITThe post SERIKALI YATOA RIPOTI JUU YA KUZAMA KWA M.V SKAGIT appeared first on Mzalendo.net....more0minPlay
November 09, 2012Wakili wa UAMSHO akieleza masikitiko juu ya wateja wakeWakili wa Uamsho akieleza kusikitishwa kwake na uvunjani wa haki za binadamu na katiba ya nchi...more0minPlay
November 07, 2012Hali ya kisiasa visiwani ZanzibarNovemba 5 visiwa vya Zanzibar viliadhimisha mwaka wa pili tangu kuundwa serikali ya Umoja wa kitaifa kati ya chama cha mapinduzi CCM na kile cha wananchi CUF, Hatua hiyo ilitokana na matakwa ya wananchi. Kuundwa kwa serikali hiyo ya mseto baada ya uchaguzi mkuu uliopita 2010, kulitokana uamuzi wa wakaazi wa visiwa hivyo katika kura ya maoni ilioitishwa kama sehemu ya maridhiano yaliofikiwa baina ya aliyekuwa Rais wa Zanzibar wakati huo Amani Karume na Katibu mkuu wa chama cha CUF Maalim Seif Sharif Hamadi. Katika kipindi hiki cha Kinaga ubaga Mohammed Abdulrahman amefanya mahojiano na Makamu wa kwanza wa Rais wa serikali yamapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi ambae pia ni Katibu Mkuu wa CUF....more0minPlay
November 02, 2012Indhari kwa Watawala na Watawaliwa ZanzibarALBIUS Tribullus alifariki dunia kama miaka 19 hivi kabla ya kuzaliwa Nabii Issa (YesuKritso). Tribullus alikuwa Mlatini na mshairi maarufu aliyebobea katika fani ya uandishi wa maombolezi....more0minPlay
FAQs about Mzalendo.net:How many episodes does Mzalendo.net have?The podcast currently has 10 episodes available.