Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Siasa na Gumzo:How many episodes does Siasa na Gumzo have?The podcast currently has 44 episodes available.
May 15, 2021Gumzo la Wiki; Wakenya Kuhusu Mahakama kusimamisha BBIWakenya wametoa hisia mbalimbali kufuatia hatua ya Mahakama Kuu kusitisha mchakato wa marekebisho ya katiba kupitia BBI. Majaji watano wa mahakama hiyo wanasema kuwa Rais Kenyatta alivunja sheria kwa kuanzisha mchakato huo; kwamba haukuanzishwa na wananchi wala bunge jinsi inavyosema katiba. Kamati-simamizi ya BBI inakata rufaa. Je, Reggae itarejelewa au la? Wanahabari wetu, John Mbuthia wa Nyeri, Moses Kiraese wa Pokot Magharibi na Martin Ndiema wa Trans Nzoia wameshiriki gumzo na Wakenya kuhusu suala hili....more11minPlay
April 18, 2021Gumzo la Wiki Podcast; Wakenya Kuhusu Mikopo na Ugumu wa MaishaWakenya wanailaumu serikali kwa kuchukua mikipo mara kwa mara. Aidha wanaulaumu kwa kutoweka mikakati ya kuwainua kiuchumi kutokana na athari za korona. Wanahabari wetu wa Nyeri, John Mbuthia, Moses Kiraese wa Pokot na Martin Ndiema wa Trans Nzoia wamezungumza na wakazi wa maeneo yao....more15minPlay
FAQs about Siasa na Gumzo:How many episodes does Siasa na Gumzo have?The podcast currently has 44 episodes available.