Vikosi vya timu zinazoshiriki EURO 2020 vimeshathibitishwa na kila kocha ametetea maamuzi yake.
Je, unajua ni kwanini makocha wameamua kuita wachezaji fulani na kuwaacha wengine? Tumekuandalia majibu yote hayo.
Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili ubora wa kila kikosi kuelekea michuano ya EURO 2020.
Tumeangazia timu zinazopigiwa upatu kutwaa taji hili kama Ufaransa, Ureno, Ubelgiji, nk.
Tumeenda mbali zaidi kwa kuchambua timu ambayo inaweza leta 'Suprise' katika michuano hii kutokana na ubora wa kikosi chao.
Pia tumejadili Kukosekana kwa Ramos katika kikosi cha Hispania na sababu ya maamuzi hayo na Thomas Muller na Mats Hummels kujumuishwa katika kikosi cha Ujerumani.
Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5
Twitter: https://twitter.com/SportsCastTz?s=09