Katika mzunguko wa kwanza wa VPL wachezaji mbalimbali wameonesha umaridadi wao katika nafasi mbalimbali wanazocheza uwanjani.
SportsCast imekuandalia orodha ya wachezaji watano (5) ambao kwa nafasi zao wameweza kuonyeshe ubora wa kimbinu na kuweza kusaidia katika falsafa za makocha wao.
Orodha hii inahusisha wachezaji kama; Prince Dube, Edward Manyama, Adam Adam, Mukoko Tonombe na Clatous Chama. Sikiliza zaidi ili kuweza kujua ubora wa wachezaji hao huku tukiangazia mbinu Zaidi.
Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5
Twitter: https://twitter.com/SportsCastTz?s=09