Pira biriani la simba linachagizwa na umahiri wa viungo walio chini ya kocha Sven Vandenbroeck ambaye kupitia mfumo wake timu imeweza kutengeneza nafasi nyingi za kufunga na kumiliki mpira kwa asilimia kubwa.
Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kuangazia kwa kina umuhimu wa kila kiungo wa Simba ndani ya mfumo wa Sven.
Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5
Twitter: https://twitter.com/SportsCastTz?s=09