Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili mada mbalimbali zinazohusu mpira wa miguu. Tunaangazia uwekezaji, mbinu na historia mbalimbali za Soka.... more
FAQs about SportsCast:How many episodes does SportsCast have?The podcast currently has 63 episodes available.
October 04, 2020Kwa namna gani Krmpotic alifeli kuiunganisha timu ya Yanga?Krmpotic hana historia ya kukaa kwenye klabu kwa zaidi ya mwaka mmoja na amekua akilalamikiwa kwa namna anavyopanga kikosi chake. Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew ambaye anachambua kwa kina namna Krmpotic alivyofeli kuiunganisha timu ya Yanga....more30minPlay
October 01, 2020Manchester City; Msimu mpya mambo yaleyale & Sintofahamu ya Penati za 'Handball' EPL.Hadi sasa Manchester City imetumia kiasi cha Pauni milioni 400 kwa ajili ya safu ya ulinzi tangu kocha Pep Guardiola atue klabuni hapo lakini bado hakuna utofauti na wamekua wakiruhusu magoli ya aina ileile. Sheria mpya ya 'Handball' imeleta sintofahamu nyingi hususani kwa mashabiki na makocha katika ligi kuu ya uingereza. Clifford Sangai anaungana na mchambuzi Prosper Bartalomew kujadili maswala hayo....more30minPlay
September 30, 2020SportsCast-TrailerUngana nasi mara mbili kwa wiki tukikuchambulia soka kwa namna ya kipekee kabisa....more2minPlay
FAQs about SportsCast:How many episodes does SportsCast have?The podcast currently has 63 episodes available.