Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
February 27, 202105h36 - 06h00 GMT - Kuuawa kwa balozi wa Italia nchini DRC, mchakato wa BBI, uchaguzi wa Ghana na mengineyoJumatatu ya february 22 balozi wa Italia nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, Luca Attanasio, ameuawa, baada ya msafara wao kushambuliwa,nje kidogo na mji wa Goma,mkowani Kivu kaskazini mashariki mwa DRC,mchakato wa kura ya maoni kuhusu mabadiliko ya katiba, nchini Ghana mgombea wa chama tawala ashinda uchaguzi, na kimataifa rais Joe Biden asema Canada ni nchi rafiki wa damu...more21minPlay
February 27, 202104h36 - 05h00 GMT - Sanaa ya muziki nchini Rwanda na changamoto za matumizi ya lughaWasanii wa Muziki nchini Rwanda wanapiga hatua ingawaje changamoto ya matumizi ya lugha inawakwamisha kutoka kisanaa kwa kiwango kikubwa ili wafanikiwe kulifikia soko la Afrika Mashariki Lugha adhimu ya kiswahili lazama itumike katika sanaa yao mbali na lugha mama ya kinyarwanda na wakitaka kufika kimataifa zaidi lugha ya kiingereza sharti watumie katika nyimbo zao.Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya sanaa Sehemu ya pili akiwa na Mvindimwe Gospel maarufu Stanza Msanii wa Muziki kutoka Nchini Rwanda....more20minPlay