Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
February 26, 202105h36 - 06h00 GMT - Watalaamu kutoka mataifa ya Afrika Mashariki wahimizwa kusalia katika nchi zaoKatika makala ya juma hili ya Afrika Mashariki, mawanahabari wetu Juliani Rubavu anaangazia hutua ya mataifa ya Afrika mashariki kuwashauri wataalamu wao kutoondoka katika mataifa hayo kutafuta kipato katika mataifa mengine kwa lengo la kuchangia kuimarika kwa uchumi katika mataifa yao....more10minPlay
February 26, 202105h36 - 06h00 GMT - Mvutano wa kisiasa nchini Uganda kati ya Bobi wine na rais MuseveniMakala ya juma hili la wimbi la siasa mwandishi wetu Victor Robert Wile, ameangazia siasa za Uganda, ambapo kiongozi wa upinzani, Robert Kygulanyi maarufu kama Wine, aliagiza mawakili wake kuondoa kesi ya kupinga ushindi wa rais Yoiweri Muveseni mahakama, kwa tuhuma mahakama kuegemea upande moja....more11minPlay