Kupitia "Funny Talks With Football Fans", tunapata wasaa wa kuzungumza na mashabiki, wadau na wanamichezo mbalimbali ambao wanapenda na kufuatilia mpira wa miguu Ulimwenguni, Hapa tumezungumza na MOJA YA SHABIKI MKUBWA WA YANGA, na tumezungumzia zaidi juu ya:
1. Kifupi wanaYanga wanamuongeleaje Niyonzima na nini umekua mchango wake mkubwa Yanga pamoja na mafanikio yake akiwa na Yanga?
2. Je, pia kwa upande wa Mashabiki wa Yanga imekua Ni sahihi kwa (Yanga) kuachana na Niyonzima kwasasa?
3. Na Vipi kuhusu safari ya Niyonzima wanaionaje huko mbeleni, na kama wadau wa Yanga wanamtakia nini Niyonzima mbeleni?
Wewe pia kama mdau wa kandanda una mchango mkubwa juu ya hili tuachie ujumbe wako kwenye sehemu ya Ujumbe (Comments) ENJOY!
#AuclandMudu #Niyonzima #YangaSC #FTWFF
TUFUATIE INSTAGRAM π
https://www.instagram.com/invites/contact/?i=e9d4qvl6luqo&utm_content=3mzn7ou
SIKILIZA PODCAST YETU π
https://podcasts.google.com/?feed=aHR0cHM6Ly9hbmNob3IuZm0vcy8zYWEyMDBmMC9wb2RjYXN0L3Jzcw