Sikiliza makala fupi ya Historia ya aliyekuwa kocha maarufu duniani wa klabu ya mashetani wekundu, Manchester United, ambaye alijizolea sifa nyingi kwa umaarufu na ubora wake wakati akiifundisha klabu hiyo, skills zake, idadi ya vikombe kwa MUN, mataji binafsi, style yake ya kutafuna bazoka uwanjani, familia, career yake ya kucheza kabla ya kuwa mwl. Wa soccer na mengine mengi mpaka kustaafu kwake. IMEANDIKWA na SAID KAWAGE, na KUTIWA SAUTI na AUCLAND MUDU.