Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
A Swahili Entertainment and Social Sports Talks Podcast, #LetsTalk | Hosted by Aucland Mudu, We Talk a lot concern Entertainment and social affairs with Sports Matters.... more
FAQs about Acky Talks Podcast:How many episodes does Acky Talks Podcast have?The podcast currently has 54 episodes available.
February 02, 2021EPISODE 24 - SAKATA LA MORRISON LAIBULIWA UPYA TENABaada ya ukimya mfupi, sasa sakata la Yanga juu ya MORRISON limeibuliwa upya tena na limekuja na taswira mpya, sikiliza mpaka mwisho ili kuyafahamu mengi....more6minPlay
February 02, 2021EPISODE 23 - YANGA YATAWAZWA MABINGWA MAPINDUZI CUP, ZANZIBAR BAADA YA KUICHAPA SIMBASikiliza yaliyojiri katika mchezo wa fainali ya MAPINDUZI mpaka Yanga kutangazwa kua mabingwa wa mashindano hayo, huko Zanzibar....more9minPlay
February 02, 2021EPISODE 22 - UCHAMBUZI KUELEKEA FAINALI YA MAPINDUZI CUP, YANGA vs SIMBATumekuwekea uchambuzi kuelekea Mtanange wa fainali ya MAPINDUZI kati ya Simba na Yanga, sikiliza mpaka mwisho kuyasikia mengi na hata utabiri wa bingwa wa michuano hiyo....more15minPlay
February 02, 2021EPISODE 21 - KARIAKOO DERBY NDANI YA FAINALI YA MAPINDUZI CUP ZANZIBARKilichokua kinasubiriwa kwa hamu kimetokea, sasa rasmi Yanga na Simba kukutana fainali ya MAPINDUZI Cup, huko Zanzibar unajua yapi yaliyojiri? Sikiliza mpaka mwisho....more8minPlay
February 02, 2021EPISODE 20 - AGGREY MORRIS KUSTAAFU, AAGWA TAIFA, AMWAGIWA MAZAWADISikiliza mazawadi aliyomwagiwa Aggrey MORRIS wakati akiagwa kwa heshima baada ya kutangaza kustaafu kuburuza soccer, wakati wa mchezo wa Stars....more7minPlay
February 02, 2021EPISODE 19 - RATIBA YA VPL, SAJILI ZILIZOFANYIKA BONGOBaada ya kupisha michuano mbalimbali ikiwemo ile ya klabu bingwa Africa pamoja na michuano ya MAPINDUZI CUP hatua ya mtoano, sikiliza Sajili zilizofanyika Bongo pamoja na ratiba ya kurejea kwa league kuu Tanzania bara....more9minPlay
February 02, 2021EPISODE 18 - CHAMA AONGEZA MKATABA SIMBA, ISSUE YA SVENSakata la Chama lafika ukingoni baada ya kufikia maamuzi ya kuongeza mkataba mpya akiwa na klabu yake ya Simba, sasa zile kelele za kuhamia upande wa pili zimekwisha, sikiliza hadi mwisho ufahamu mengine mengi juu ya hatma ya aliyekua kocha wao SVEN....more9minPlay
February 02, 2021EPISODE 17 - BAADA YA MCHEZO WA SIMBA vs FC PLATINUM, SIMBA KUFUZU HATUA YA MAKUNDI.Sikiliza yaliyojiri Baada ya Simba SC Kuitupilia mbali klabu ya FC Platinum kwa Aggregate ya 4-1 na kufuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Africa...more11minPlay
February 02, 2021EPISODE 16 - Exclusive Interview KUELEKEA MCHEZO WA SIMBA vs FC PLATINUMNilipata wasaa wa kupiga story kuelekea mchezo wa Simba SC dhidi ya FC Platinum kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Africa....more19minPlay
December 03, 2020EPISODE 15 - RIVALDO FERREIRA ArticleTumepata wasaa wa kuandaa makala ya 1 ya wakongwe na mchezaji maarufu Ulimwenguni kuwahi kujitokeza, Raia wa Brazil, aliyewahi kukipiga katika klabu ya Barcelona na mwenye mafanikio makubwa ya binafsi katika soccer mfano ile tuzo yake ya Ballon D'OR na mchezaji bora wa FIFA, na ile ya Kitimu mfano kuisaidia timu yake ya Brazil kubeba Kombe la Dunia, Kopa America na mengine mengi. Sikiliza makala hii fupi ikiandaliwa//andikwa na Said Kawage na kusomwa na Aucland Mudu....more6minPlay
FAQs about Acky Talks Podcast:How many episodes does Acky Talks Podcast have?The podcast currently has 54 episodes available.