Tumepata wasaa wa kuzungumza na moja ya wasanii wa kizazi kipya na Bongo Flava kutokea Tanzania, utayafahamu mengi juu yake lakini pia kupitia yeye utapata kujifunza na kuongeza kitu pamoja na burudani pia.
Tumepata wasaa wakuzungumza na moja kati ya Ma-Director na waandaaji wa Filamu Tanzania, utapata nafasi ya kujifunza mengi na kuburudika pia, kupitia hii tasnia.
Tumepata wasaa wakuzungumza na Moja kati ya ma Director, Photographer na Videographer mkubwa Tanzania ndani ya Episode yetu ya 01, na kupitia hii Interview utakwenda kujifunza mengi zaidi na kuburudika pia, Karibu.
1 hr 4 min
About Acky Talks Podcast
From the publisher's feed
A Swahili Entertainment and Social Sports Talks Podcast, #LetsTalk | Hosted by Aucland Mudu, We Talk a lot concern Entertainment and social affairs with Sports Matters.