Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kufikia wasiofikiwa na kugusa wasio guswa kwa Injili ya Kiumbe Kipya ya Bwana wetu Yesu Kristo.Maudhui ya Podcast hii:Mapitio ya Rhapsodi ya Uhakika, Maungamo ya Afya ya Kiungu, Ukiri wa Imani,Mt... more
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.
January 23, 2024Uonyeshe Ulimwengu Wako Upendo wa MunguUpendo wa Mungu umememiminwa kwa wingi moyoni Mwako, Hakika wewe ni mng'ao wa utukufu wake, dhihirisha upendo huo leo, acha nuru yako iiangaze sana, watu wote waone matendo yako mema, wamtukuze Baba yako wa Mbinguni....more9minPlay
January 23, 2024Yeye Yuko Juu ya YoteFahamu vizuri kuhusu ukuu wa Bwana Yesu! Utawala wake, mamlaka yake na enzi yake! Fahamu kuhusu Ufalme wake unafika mbali kiasi gani na katika zama zipi! Maongeo ya enzi yake hayana mwisho, utawala serikali yake ni wa milele. Hii ni rhapsodi ya Uhakika toleo la watu wazima, Januari 23, 2024....more14minPlay
January 23, 2024Hakuna KuchanganyikiwaRoho Mtakatifu ni msaidizi na mfariji wakipekee maishani! Mpokee Leo hii na mkaribishe ndani yako, atajaza maisha yako kwa Hekima, maarifa na ubora wa kiungu. Atahuisha mwili wako na kufanya uwe na afya njema daima. Roho Mtakatifu ndani yetu ni faida na nguvu yetu ya ushindani!...more15minPlay
January 23, 2024Afya StahikiMungu sio chanzo cha magonjwa. Mungu anataka uwe na afya njema, ufurahie maisha na uishi kati Uhuru wenye Haki! Fanya ukiri huu kila mara na tembea kwenye afya njema, bora ambayo ni Stahiki Yako....more8minPlay
January 22, 2024Utajiri wa Kristo UsiochunguzikaUmeitwa kuhuburi utajiri wa Kristo Usiochunguzika, usiopimika, usiohesabika, usioisha. Utajiri ambao marefu yake, mapana, kimo na kina haviwezi kuelezewa kwa ukamilifu kwenye fikra ya kibinadamu.Tafakari mistari hii: Wakolosai 3:8Warumi 8:171 Wakorinto 3:21Tembea kwenye kweli kila siku kuanzia Leo hii....more13minPlay
January 22, 2024Siha NjemaUlimi wako unaweza kutunza mwili wako katika siha njema wakati wote. Tamka maneno sahihi kila siku kuhusu ubora wa mwili wako, tamka afya na uzima kila wakati juu ya mwili wako. Siha njema na afya Bora ipo kinywani Mwako....more6minPlay
January 21, 2024Mkemee ShetaniKataa kuwa mhanga wa shetani na vibaraka wake! Kataa kuishi kwenye kongwa la vifungo vya magonjwa au mashambulizi ya nguvu za Giza! Njoo kwenye Nuru, njoo kwenye Uhuru wa Wana wa Mungu, kwenye Ufalme wa mwana wa pendo lake.Tumia mamlaka uliopewa ndani ya Kristo Yesu na sababisha badiliko katika maisha na ulimwengu wako. Hii Rhapsodi ya Uhakika toleo la watu wazima....more14minPlay
January 20, 2024Chochea Upako ulionaoKuna hazina kubwa sana ya Mungu ndani, usiopotezee!! Ichoche na itumie kuwabariki wengine! Kunena kwa lugha ni Moja na namna ya kuchochea karama hii! Tumia muda Leo kunena kwa lugha na chochea Upako uliopo ndani yako. Bariki ulimwengu leo wa Karama hii iliyowekezwa ndani yako. Rhapsodi ya Uhakika toleo la wasomaji wa awali....more9minPlay
January 20, 2024Unaishi ndani ya UfamleJe, unafahamu kweli hii kwamba Kristo ni eneo na kama umezaliwa mara ya pili upo ndani ya eneo hili. Maisha ni jambo la Kiroho na utambuzi wa Kweli hii utakupa nafasi kutembea kwa ushindi na ukuu kama Mungu anatarajia uishi. Hii ni Rhapsodi ya Uhakika toleo la watu wazima, Januari 19, 2024....more12minPlay
January 20, 2024NimebarikiwaUzima na Mauti ipo kwenye nguvu Kinywa chako. Ulimi wako ni lijamu ya mwili wako, unaweza kuongeza siku zako au kuzipunguza kwa kutumia Ulimi huo. Tumia Ulimi huo kutunza afya na siha ya mwili wako kupitia ukiri huu wa AFYA YA KIUNGU....more6minPlay
FAQs about Amedeus Live Podcast:How many episodes does Amedeus Live Podcast have?The podcast currently has 244 episodes available.