Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
July 08, 2021MITHALI Sura ya 14Kitabu kilichojaa hekima. Uchaguzi ni wako, je unataka kuwa mpumbavu au mtu mwenye hekima. Uamuzi ni wako.6 minPlay
July 06, 2021Mithali Sura ya 13Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe. Bali yeye ampendaye humrudi mapema.5 minPlay
July 05, 2021MITHALI Sura ya 12"Katika njia ya haki kuna uhai; Wala hakuna mauti katika mapito yake." -- Mithali 12:285 minPlay
July 04, 2021MITHALI Sura ya 11Amefananishwa na kipini cha dhahabu puani mwa nguruwe yule mwanamke mzuri asiye na akili.5 minPlay
July 02, 2021MITHALI Sura ya 9Wenye busara ukimfundisha atakupenda. Wajinga huchukia marekebisho3 minPlay
July 01, 2021MITHALI Sura ya 8Hekima inawaita wanadamu wote wamuendee. Hekima anatoa wito tumfuate tupate utajiri, na fahali yote ya dunia. Hekima humsaidia mfalme kutawala na watawala kutunga sheria.6 minPlay