Nimeadhamiria kukisoma kitabu cha Mithali kwa siku 31 kama zilivyo sura zake. Nimependelea kukisoma kwa sauti na kukushirikisha simulizi ya kitabu hiki.
Fanya kazi yako kwa bidii, jiwekee malengo, fuata utaratibu na nidhamu, kuwa Chapu kazini, na mwisho Tuliza akili na mawazo yote yaelekeze kwenye kazi unayoitenda sasa.