Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Watu mbalimbali wanasimulia wanayopitia ama kushuhudia kwa namna ya kugusa moyo, kushtua na kuliza machozi, vilevile kauli za matumaini.... more
FAQs about Kisa Changu:How many episodes does Kisa Changu have?The podcast currently has 53 episodes available.
May 15, 2021Kisa Changu Podcast; Niliibiwa figo hospitaliniMsichana kwa jina Ivy Kinagu hajui ilikokwenda figo yake baada ya kufanyiwa upasuaji katika hospitali moja jijini Nairobi. Mamaye ana huzuni nyingi kutokana na matatizo ya afya anayopitia bintiye. Sikiliza mazungumzo haya kati ya Ivy na mwanahabari wetu, Esther Kirong....more20minPlay
April 21, 2021Kisa Changu Podcast: Wasichana pacha, Mevis na Melon kuhusu ugumu wa maishaPacha wawili, Mevis na Melon waliotenganishwa wakati wa kuzaliwa, wanapitia hali ngumu ya maisha. Punde baada ya kuangaziwa katika vyombo vya habari, wengi walijitokeza na ahadi za kuwasaidia. Lakini tangu hapo wameachwa wakihangaika; chakula ni kwa shinda, karo ni kwa shida...wamesalia ombaomba. Faith Kutere amezungumza nao....more25minPlay
April 16, 2021Kisa Changu Podcast; Nilihukumiwa mara 9 kunyongwa, sasa nimebadilikaMasimulizi ya kushangaza ya afisa mstaafu wa GSU, aliyeshiriki ulanguzi wa sukari la bunduki. Wizi wa kimabavu ulichangia kuhukumiwa kunyongwa mara 9. Kimuujiza, akawa huru baada ya kukata rufaa na kuondolewa mashtaka yote. Ameshiriki mazungumzo ya kusisimua na Martin Ndiema....more17minPlay
FAQs about Kisa Changu:How many episodes does Kisa Changu have?The podcast currently has 53 episodes available.