Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Kupitia vipindi vyetu tunajaribu kuwahamasisha vijana wa Afrika kuhusu elimu ya jamii. Inasaidia kuyafanya maisha yao kuwa rahisi.... more
FAQs about Learning by Ear – Elimu ya Jamii:How many episodes does Learning by Ear – Elimu ya Jamii have?The podcast currently has 41 episodes available.
March 16, 2011Ngano za Afrika – Kipindi 10 – Tumbiri na Kobe“Wanaopata, wanaoweka. Anayepata kitu fulani njiani anaruhusiwa kukimiliki” Je, ni rahisi namna hiyo kila mara? Sikiliza hadithi ya kobe na tumbiri mjanja aliyelazimika kupata adhabu kuokoa mkia wake!...more12minPlay
March 16, 2011Ngano za Afrika – Kipindi 09 – Mrembo kuliko woteHadithi yetu inatokea zamani za kale, wakati tausi alipokuwa angali mweupe. Jifunze jinsi alivyopata rangi zake nyingi na wakati huo huo kuiharibu sauti yake...more11minPlay
March 16, 2011Ngano za Afrika – Kipindi 08 – Bundi na NyenjeSiku moja bundi mzee na nyenje kijana wanakuwa majirani. Mwanzoni wanafurahia kuishi kwa pamoja, lakini kadri muda unavyopita bundi anakasirika na nyenje anavunjika moyo. Watafanya nini?...more13minPlay
March 16, 2011Ngano za Afrika – Kipindi 07 – Dikum DakumKatika hadithi hii, marafiki zetu wanyama wenye njaa wanalazimika kutafuta njia ya kuchuma matunda mtini. Inaonekana kuwa kazi rahisi lakini mti wa maajabu wa marula unawafunza somo zuri...more13minPlay
March 16, 2011Ngano za Afrika – Kipindi 06 – Mfalme asiye na UfalmeMwanamke kizee akamwambia Amadou. “Usijiingize katika hali usizoweza kukabiliana nazo! Fuata maagizo yangu.” Lakini wakati mwingine inahitaji uhodari mkubwa mtu kukubali udhaifu wake, kama Amadou atakavyogundua...more13minPlay
March 16, 2011Ngano za Afrika – Kipindi 05 – Kassi na KalooKassi na Kaloo – marafiki wasioweza kutenganishwa! Angalau hali ilikuwa hivyo kabla farasi hao wawili wa kupendeza kupandwa na wafalme wawili mahasimu. Watafanya nini wakati vita vitakapozuka kati ya falme zinazopigana?...more11minPlay
March 16, 2011Ngano za Afrika – Kipindi 04 – Fisi, Nyoka, Chui na NgiriJe unaamini hirizi za bahati na mawe ya mazingaombwe? Sawa, zuia wazo hilo na tumruhusu ngiri atueleze hadithi yake kuhusu kilichomuokoa, na vipi...more12minPlay
March 16, 2011Ngano za Afrika – Kipindi 03 – Lipua LipuaFuata nyayo za Lipua! Njiwa jasiri ana kibarua cha umuhimu mkubwa. Je Lipua atamshinda mfalme mlafi na muovu Karamba na kuwaokoa ndege wenzake wasife kutokana na njaa?...more13minPlay
March 16, 2011Ngano za Afrika – Kipindi 02 – Simba, Fisi na TaiZamani paliondokea simba na fisi mwenye njaa. Kilichoanza kama uhusiano wa ajabu lakini wa furaha, kinamalizika huku fisi akiwa amejeruhiwa maisha yake yote na tai akipoteza manyoya yake kadhaa...more10minPlay
March 16, 2011Ngano za Afrika – Kipindi 01 – Masaibu ya Chura MbottKatika mfululizo mwingine wa kusisimua, tunautembelea ulimwengu wa mjusi kafiri Sindakh na chura aitwaye Mbott – hadithi kuhusu urafiki, uaminifu na usaliti...more13minPlay
FAQs about Learning by Ear – Elimu ya Jamii:How many episodes does Learning by Ear – Elimu ya Jamii have?The podcast currently has 41 episodes available.